Ni Jambo la kawaida watu mnaofahamiana kukuchukia unapofanikiwa. Usiwalaumu.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,009
Reaction score
87,989
NI JAMBO LA KAWAIDA WATU MNAOFAHAMIANA KUKUCHUKIA UNAPOFANIKIWA. USIWALAUMU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Mafanikio yapo ya aina nyingi Sana. Yapo mafanikio ya kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kimitandao ya kijamii n.k

2. Ni MTU asiye na uelewe pekee ambaye atataka mafanikio alafu hapohapo asitake au aogope kuchukiwa.

3. MTU hawezi kukuonea wivu na kukuchukia kama hauna lolote. Ni lazima umemzidi sehemu fulani.

4. Saikolojia ya mwanadamu iko hivi; mtu akisikia matatizo yake hujisikia ahueni, Raha kuliko ukimuelezea mafanikio yako.

5. Dark psychology ambayo huleta Dark games. Iko hivi, kutokana watu hufurahia matatizo yako kuliko mafanikio yako ndio maana kwenye ujasusi kuna kitu inaitwa Classified data/information yaani taarifa ya siri, iwe ni mipango, mikakati au mafanikio yako ambayo ni mhimili wa maisha yako.

6. Nilikuambia Utajiri ni siri na siri ndio utajiri wenyewe.

7. Kwenye mafanikio hupaswi kumwamini yeyote Yule ila haimaanishi usishirikiane na watu au usiwe na connection. Unashirikiana kwa tahadhari. Don't over share

8. Siku zote kuwa Humble kwani ndivyo nature itakusapoti na utabebwa na mfumo. Nature iwe Role model wako.
Kama ambavyo hujui Kesho nature itakupa na kuleta nini, itakuwaje ndivyo hiivyo hivyo nawe uwe msiri katika mambo yako.

9. Epuka kuongea mipango yako mbele za watu hovyohovyo. Kutofanikiwa ni asilimia 99%.

10. Kumbuka mawazo yako ndio mafanikio yako. Mipango yako ndio nguzo ya mafanikio. Mafanikio ni matokeo ya mawazo, mipango na mikakati kwenda vizuri.

11. Kadiri unavyojenga mazoea na watu ndivyo unavyojenga mazingira ya chuki na Wivu. Ukaribu huleta uadui.

12. Ukaribu na mazoea yaliyopitiliza huchangia kwa kiasi kikubwa chuki na wivu.

13. Wewe huwezi muonea wivu MTU usiyemjua,

14. Wivu unahusu mahusiano ya karibu iwe ya undugu, ujamaa,, urafiki.

15. Ndipo ule msemo usemao adui wa mtu ni wale wa nyumbani kwake. Na kikulacho Siku zote kinguoni mwako.

16. Na Sisi watibeli tunamsemo usemao, Rafiki ni adui aliyekaribu.

17. Ingawaje wapo wachache kama Sisi watibeli ambao hatunaga msamiati chuki. Tunaweza kukusapoti kama tunaweza hata kama utatupita na kuwa zaidi yetu. Hiyo haituhusu na haituumizi.

18. Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa, Kariakoo. Dar es salaam
 
Kawaida sana hii.....

Kuna wana/washkaji siku hz hata salamu hakuna... mtu ana_view status anapita hivi .... unamsikia tu kwa washkaji wengine huko...mara jamaa kaoa, mara kafanyaje ila hakuambii ....

Kisa tu ni hatua kwenye maisha... ukimzidi ni kosa, anataka muwe levo ama ushuke ... !

Ndio maana unaambiwa usiwe na rafiki, just ujamaa na watu tu
 
Ndio maana Machadomo yanamchukia SSH 😁😁
 
Screenshot_20260125-221352_1.jpg

Mtoa mada worry out kwa vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wako(control)

Maneno ya watu, imani zao, wanachosema kuhusu wewe, maoni yao kuhusu wewe, vyote havikuhusu.
 
Kawaida sana hii.....

Kuna wana/washkaji siku hz hata salamu hakuna... mtu ana_view status anapita hivi .... unamsikia tu kwa washkaji wengine huko...mara jamaa kaoa, mara kafanyaje ila hakuambii ....

Kisa tu ni hatua kwenye maisha... ukimzidi ni kosa, anataka muwe levo ama ushuke ... !

Ndio maana unaambiwa usiwe na rafiki, just ujamaa na watu tu
Mwanaume kulilia status nayo ni tatizo
 
Well said mkuu.. asili ya binadamu ni uovu. Hakuna mtu anaependa kuona unafanikiwa au kupiga hatua (labda awe mzazi wako).

Hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa!
 
Mzazi wako mwenyewe anapenda ufanikiwa kama atafaidika.
Usimpe uone ndio utajua hujui
 
Kawaida sana hii.....

Kuna wana/washkaji siku hz hata salamu hakuna... mtu ana_view status anapita hivi .... unamsikia tu kwa washkaji wengine huko...mara jamaa kaoa, mara kafanyaje ila hakuambii ....

Kisa tu ni hatua kwenye maisha... ukimzidi ni kosa, anataka muwe levo ama ushuke ... !

Ndio maana unaambiwa usiwe na rafiki, just ujamaa na watu tu

Hatari Sana.
Maisha kikawaida yanakuweka kwenye laini
 
Back
Top Bottom