jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE Anaandika, Robert Heriel Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Ngorongoro; Dola fanyeni jambo msichelewe kabla ya maafa makubwa!

    Wakuu, Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI! Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini! Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa ...
  4. JamiiForums Tanzania Kulipia huduma ya choo stend wakati umelipa getini ni jambo la ovyo

    Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo. Hali ni tofauti katika stendi za Magufuli, Nanenane na Msamvu. Bila shaka ile 200 nayolipa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi, ni vema kumwambia abiria gharama ya mzigo wake wakati anapanda basi

    Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro. Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
  8. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia hamtaki Mbatia na anataka wapinzani wataokuwa wakisema yes kwa kila jambo? Rais wa chama tawala anapanga safu ya wapinzani?

    Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu. Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma. Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi. Kwa hali hii kumbe rais...
  9. JamiiForums Tanzania Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

    Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko leo Mei 17, 2022, ambapo waandishi wa habari wamekaribishwa kuchukua taarifa ambayo inatarajiwa kuzungumza, lakini kubwa wengi wanaamini itakuwa inahusu sakata la kina Halima Mdee na wenzake 18. ==== "Wanaojaribu kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama umechaguliwa Combination ya CBG, fahamu jambo hili mapema

    Habarini wakuu, Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Jambo la Mama limetimia

    "JAMBO LA MAMA LIMETIMIA-NDEJEMBI" Anaandika Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Deo Ndejembi Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa 23.3%. Mhe Rais ameonyesha wazi kwamba ameweka maslahi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini hili jambo halifanyiki mjini?

    Nyumbani kule kijijini kuna vikundi vinaitwa "vikundi vya maafa na kusaidiana" Hivi ni vikundi unaweza kukuta kijiji kizima kuna kikundi kimoja au viwili. Familia karibia zote wamejiunga, awe mwalimu au mkulima. Ada ya kujiunga kwa mwanachama mgeni ni Tsh 2,000 tu. Wanachama wake pindi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  17. JamiiForums Tanzania Gharama za imported goods kuwa chini kati ya Tanganyika na Zanzibar sio jambo jipya

    Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika. Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni 2600+ TZS wakati Tanganyika ni 3100+ TZS, huku swali kubwa likiwa inakuaje bei iko chini Zanzibar...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  19. JamiiForums Tanzania Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…