jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  2. A

    DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  3. baz kaiza

    Hizi Tume Magufuli alizikataa ni kuchezea Kodi za Watanzania sio kila Jambo linaitaji Tume

    Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
  4. MamaSamia2025

    Simbu na wanariadha wenzako fanyeni jambo kwa ajili ya uwanja wa michezo wa sekondari ya Ilboru

    Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu. Kwa...
  5. Yoda

    Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  6. secretarybird

    Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  7. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  8. N'yadikwa

    Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  9. M

    EWURA: Tunaomba sana kesho utufanyie jambo lililotukuka

    Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida. Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia...
  10. Dalton elijah

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  11. O

    Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  12. Saad30

    Hii Jambo limekaaje

    Habari wakuu wa kuwazuka. Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule...
  13. The Palm Beach

    Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

    https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026. Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa...
  14. K

    Hili jambo nimejikuta limeniuma sana

    Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao kutoka kwao kuwapa sisi wateja wao. ‎ ‎Kuna challenge wakasema Kuna maswali ya kujibu kwa usahihi watu...
  15. MakinikiA

    Hili jambo la huyu bwana Epstein linafanana na la P Diddy

    Faili za Epstein zinaibua kumbukumbu ya 'nyakati za uchungu mwingi katika ndoa yangu' - Melinda Gates Chanzo cha picha,AFP via Getty Images Bilionea Melinda French Gates amesema mumewe wa zamani, mwanzilishi mwenza wa Microsoft Bill Gates, aliyetajwa katika faili mpya zinazohusiana na marehemu...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ni Jambo la kawaida watu mnaofahamiana kukuchukia unapofanikiwa. Usiwalaumu.

    NI JAMBO LA KAWAIDA WATU MNAOFAHAMIANA KUKUCHUKIA UNAPOFANIKIWA. USIWALAUMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mafanikio yapo ya aina nyingi Sana. Yapo mafanikio ya kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kimitandao ya kijamii n.k 2. Ni MTU asiye na uelewe pekee ambaye atataka mafanikio alafu...
  17. Moto wa volcano

    Unapopanga Jambo lako la sherehe punguza matarajio

    Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua ratiba yake / hali yake ikoje , punguza matarajio ya kwamba fulani atakuwepo
  18. T

    Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  20. Roving Journalist

    Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia. Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
Back
Top Bottom