Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.

Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says​

Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.

On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.

While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
 
Tatizo ni kwamba hao Hamas wanawavizia IDF kwahiyo muda wote askar wako alert vibaya mno maana wakishindwa kuwawahi hao magaidi basi watawahiwa wao na mwisho ni kifo ndio maana hayo yote yanatokea
 
Kwamba taifa la Mungu imekuwaje tena?

1. Akili inaanza kukurudia? Si ulisema kila mtu ni HAMAS? Au?

2. Ukawaamini kila walilosema na kila waluchotaka kiwe command center?

3. Wana utu gani hawa wajomba zake Mungu wako?

4. Kuuwa hovyo hadi watoto njiti ni zaidi ya ugaidi.

5. Kufunga watoto kwa kangaroo courts za kijeshi ni zaidi yq ugaidi.

6. Wajumba zake Mungu wako hawa ni mqfwedhuli zaidi ya ibilisi!

7.
IMG_20231216_163418.jpg

8.
2023-11-03T070656Z_1576098962_RC2I54AW4SHT_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-1699536147.jpg

9. Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza

Bure kabisa!
 
Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.

Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says​

Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.

On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.

While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
Gaidi pigana nae kama gaidi , mtaji wao ni huruma yenu
 
Kwa hio umejifanya mwema kuona IDF wameuwa mateka wao watatu, wakiuwauwa watoto na wanawake na madaktari wa Palestine wanauwa magaidi
Daktar anaefurahi watoto wa israel kuuawa , huyo hapasw kuchekewa , udaktari sio kificho cha uharifu
 
Tatizo ni kwamba hao Hamas wanawavizia IDF kwahiyo muda wote askar wako alert vibaya mno maana wakishindwa kuwawahi hao magaidi basi watawahiwa wao na mwisho ni kifo ndio maana hayo yote yanatokea
Hiyo ndio vita hakuna vita ya kusema eti hapa usinivizie. Kosa la IDF ni kuwa hawa mateka walijisalimisha kabisa na wakajitambulisha kwa kuonesha white flag na waliongea kiebrania but still jamaa wakawaua . Hili ni tatizo la msongo wa mawazo ambalo wanapitia wanajeshi wa IDF huko battlefield na wasipokua makini wataanza kuuwana wao kwa wao. Vita siyo mchezo wa kuigiza.
 
Kwamba taifa la Mungu imekuwaje tena?

1. Akili inaanza kukurudia? Si uliaema kila mtu ni HAMAS?

2. Ukawaamini kila walilosema na kila waliloita command center?

3. Hawana utu Wala ubinadamu.

4. Kuuwa hovyo hadi watoto njiti ni ugaidi.

5. Kufunga watoto kwa kangaroo courts za kijeshi ni ugaidi.

6. Israel ni fwedhuli!

7. View attachment 2844123

8. View attachment 2844124

9. Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza

Bure kabisa!
Kisa kuua watu watatu ndo tusiwaamin idf na tuamin idf wote wamekufa ndan ya Gaza na ss hv ni Marekan ndo anapambana na Gaza , si ndio?
 
Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.

Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says​

Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.

On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.

While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
Israel bado inaishi na jinamizi la 7/10/2023.

Wanataka kuonekana bado wana nguvu baada ya ile aibu, na kudhihirisha hilo wameigeuza Gaza kuwa kifusi mwishowe wanaishia kuua mpaka mateka.
 
Back
Top Bottom