israel

  1. JamiiForums Tanzania Mazishi ya halaiki kwa Magaidi: Israel inafanya kazi nzuri sana kuwaua Magaidi huko Gaza!!

    Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra. Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wa Israel wagundua maficho ya silaha huko West-Bank!!

    Polisi wa Israeli na Polisi wa Mpakani wamegundua maficho mengi ya silaha na vilipuzi katika operesheni zilizoratibiwa kusini na katikati mwa Israeli. Kusini, maafisa wa polisi wa Israeli kutoka kituo cha Rahat, pamoja na wapiganaji wa Polisi wa Mpakani, walikamata maficho ya silaha haramu...
  3. JamiiForums Tanzania Mishahara nchini Israel ya panda kuashiria kukua kwa uchumi wao!!

    Mshahara wa wastani wa kila mwezi wa Israeli ulifikia NIS 15,223 kuanzia mwezi Juni,( sawa na Tshs 13,414,567/) ongezeko la 7.7% kutoka mwaka mmoja uliopita, kulingana na makadirio ya awali ya Ofisi Kuu ya Takwimu. Idadi ya kazi zinazolipwa mishahara pia iliongezeka kwa 2% hadi milioni 4.22...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wawili wanyongwa Iran kwa kutuma taarifa za siri za Jeshi kwa Mossad Majasusi wa Israel

    Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa vita vya siku 12 mwezi Juni 2026, pamoja na wakati wa vita vinavyoendelea hadi sasa na Iran. Taarifa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
  6. JamiiForums Tanzania Kitaeleweka si muda mrefu: Marekani yaonya uwezo wa kujilinda wa Israel dhidi ya Makombora ya Iran

    Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye magaidi wa Hamas was Ali I Amri kwa Israel!!!

    Katika taarifa, Hamas ilithibitisha kuwa inakubaliana na Awamu ya 2 ya mfumo wa kusitisha mapigano, lakini inasisitiza kuwa itaacha tu silaha zake nzito - ikimaanisha roketi, ATGM n.k. - baada ya Israeli kujiondoa kabisa kutoka Gaza, kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina, ujenzi mpya, na...
  8. JamiiForums Tanzania Hatujawahi kuwa na mkutano mzuri kama huu na Trump-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema kwamba mkutano aliofanya na Rais wa Marekani Donald Trump ulikuwa mmoja wa mikutano bora zaidi ambayo wamewahi kuwa nayo
  9. JamiiForums Tanzania Mwamba Waziri Mkuu wa Israel akiongea na Volodomyr Zelensiky huko Washington!!

    Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana
  10. JamiiForums Tanzania Eti Mayor wa New york atamkamata waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu!!

    Mayor wa New York aliamua kuwadanganya waislamu wenzake kuwa eti endapo Mwamba Benjamin Netanyahu atatembelea New York atamkamata kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe!!wajinga tu wa kiislamu ndiyo wanaweza kuamini mtu kama mayor wa New York anaweza kumkamata Mwamba!!!
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel aenda Marekani kuonana na Trump!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington. Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imeanza safari kuelekea Marekani muda huu

    Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
  13. JamiiForums Tanzania AL Jazeera wanahoji kwanini Iran inashambulia nchi za Kiarabu lakini wanaogopa kuishambulia Israel na Meli za Kivita za Marekani?

    Siku chache niliweka Uzi wenye kuhoji kama hivi ambavyo al Jazeera wamehoji. Wairan wa tandale walikuja na maneno mengi, haya Al Jazeera nao wamekuja na huo mshangao. Kwenye hii taarifa ya al Jazeera wanaohoji kwa Nini Iran wanaikwepa Israel ikiwa Kuna ndege za marekani zinaruka kutokea Ben...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya Iran na Marekani, kwasasa Israel kajitenga, je ni sababu hatusikii tena vifo vya viongozi wa Irani na mashambulizi kwenye maeneo nyeti

    Kuna uwezekano Israel ikimuachia US apambane mwenyewe vita itakuwa kama ya Russia na Ukraine, haiishi ni milipuko tu ya kujibizana. Tofauti na Kama Israel ikiingilia kati. Huenda ndiyo sababu pia Irani hawaishambulii Israel, wanaishia Bahrain, Saudi nk.
  15. JamiiForums Tanzania Makombora ya balistiki ya Iran yakatiza juu ya anga la Israel Kusini yakielekea Jordan

    Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan Ving'ora vya kuashiria hatari vililia miji kadhaa ya kusini mwa Israel ikiwemo Eliat, na wananchi wote kuamrishwa waingie kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Njama za kumuua mtoto wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu zagunduliwa

    Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli. Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Israel anaipiga mabomu Gaza?

    Ukiangalia international news outlets, unaona huruma kinachoendelea Gaza. Heavy bombings with loss of life of innocent people. Israel anawapiga mabomu kwa sababu gani? Tatizo ni lipi ambalo haliwezi kutatuliwa mezani? Nini wasichokubaliana? == Israeli attacks on two residential neighbourhoods...
  18. JamiiForums Tanzania Israel Inatisha, Inaogopesha. Wairan Watoa Ya Moyoni Kwa Nini Israel Inaogopwa Sana na Iran

    Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni. Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado hawaoni kama vita imerudi, wanaamini na wanatamani Israel iingie kati sababu Israel huwa hawana utani...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Iran Kwanini Hapigi Israel

    Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq. Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa...
  20. JamiiForums Tanzania Wambieni Wenye uzuni tuulizeni Sisi mwenye majeraha Israel Bony anajua Sana

    Watawala wanakiwa kusikilizia sana hii ngoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…