Nachoka kabisa Mume wenu, Kaka yenu,Ndugu yenu, Rafiki yenu Chizi Maarifa. Nachoka sana.
Hawa jamaa wanasema sasa ndo wataanza kuua yaani ile mwanzo ilikuwa ni trailer sasa ndo picha litaanza rasmi. Na wamefanya onesho la mfano kwa kupiga kuangusha jengo ambalo walikuwa wamekutana viongozi wa Iran.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!!
"Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
There has been a post circulating on Facebook with the caption that Yariv Levin has taken over from Benjamin Netanyahu, who is the Prime Minister of Israel.
The post was published with the following caption: "In a major political shift, Yariv Levin has been appointed as the interim Prime...
Iran’s intelligence minister Esmail Khatib
Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran.
Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.
Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran...
Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu.
Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa...
Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz, licha ya kuwa nchi hizo zilikuwa zinaitegemea Marekani kiulinzi kwa zaidi ya miaka 40.
Trump anadai...
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wakidini hawa wenzetu walokole kanishangaza kidogo.
Anasema nchi ya Israel imetunga Sheria inayozuia wananchi wake kulitaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu hadharani.
Yaani kwao ni haramu kutumia jina la Yesu kuombea nchi hiyo. Sisi wakristo waafrika...
Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili.
Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine?
Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
https://youtu.be/zHhj_gxjcY8
Operation Rooster 53 was a bold Israeli special forces mission on December 26–27, 1969, during the War of Attrition, where commandos stole an advanced Soviet-made P-12 radar system from Ras Ghareb, Egypt. Using CH-53 helicopters, they airlifted the 7-ton radar to...
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza.
Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷
https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.
Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.