israel

  1. H

    Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  2. M

    Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Najiuliza sipati majibu. Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya kijeshi, miundombinu ya mafuta, n.k. Wameweza kuwaua pia viongozi wakubwa kama Ayatollah na makamanda...
  3. Mohamed Said

    Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  4. Mi mi

    Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  5. bwawani90

    Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  6. Keyboard_Warrior

    Wizara ya mambo ya nje Israel wailalamikia Hezbollah kwa kuishambulia Israel bila kupumzika

    Wizara inalalamika, Mazayuni hawapati muda wa kuliona jua, kila muda Mazayuni wanakimbilia kwenye mahandaki. Hezbollah hawawatendei haki Waisrael. https://x.com/IsraelMFA/status/2030951176682844346?s=20
  7. Stuxnet

    Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  8. 2019

    Ni vigumu sana Iran kutawaliwa na US na Israel watapigana mpaka mwisho naaamini.

    Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini...
  9. Tlaatlaah

    Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  10. H

    Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

    Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili kupambana kwa pamoja dhidi ya Iran, leo Rais wa Iran ameyaomba radhi mataifa jirani. Iran's...
  11. Sir John Deere

    Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  12. Stuxnet

    Esmail Qaani aliyemchomesha Ayatolla Khamenei yuko hai Israel

    Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea...
  13. H

    Israel Yawatangazia Wananchi Wake Nchi Nzima Kuwa Hakuna Haja ya Kukaa Tena Kwenye Nyumba Za Kujikinga

    Israel, kutokana na kuzungukwa na mahasimu imewekeza sana kwenye kuwalinda wananchi wake, ambapo katika nchi nzima kuna nyumba za ardhini ambazo hata kama bomu likipigwa, waliopo chini wanakuwa salama. Hivi karibuni, Israel ilipoanza kuishambulia Iran wananchi wake waliambiwa kuwa tayari...
  14. Pdidy

    TB Joshua alitabiri kichapo cha Iran tokea Israel miaka 12 iliyo pita

    KWELI UNABII LAZIMA UTIMIE ============ Tarehe 5 Februari 2012, mchungaji marehemu Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) alitoa unabii akizungumzia mvutano kati ya Iran na Israel, akionya kwamba mvutano huo unaweza kugeuka kuwa vita kubwa na kuhusisha mataifa mengine duniani kama vile United States.
  15. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  16. ChoiceVariable

    Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  17. Archival Sense

    President Museveni Recounts Conversation with Iranian Leaders on Israel Recognition

    President Yoweri Kaguta Museveni has shared insights from a past diplomatic conversation with Iranian leaders regarding the long standing tensions in the Middle East. Speaking in a video shared by Uganda Broadcasting Corporation (UBC TV), Museveni recalled asking Iranian officials why their...
  18. Damaso

    Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  19. 6 Pack

    Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  20. Wakusoma 12

    Iran yatishia kushambulia kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel

    Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel. Afisa huyo aliongeza, katika matamshi...
Back
Top Bottom