Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair.
Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel.
Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez, imesema kuwa inaweza kuondoa timu yake ya taifa kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la 2026...
Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia.
Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono uamuzi wa kuitoa timu hiyo.baana kupata shinikizo kutoka wananchi,wadau ,na vyama vya mchezo huo...
Kuwakwepa Israel ngumu sana. Ndio waliobuni kifaa kinachowekwa kwenye laptops na computer nyingi duniani kinachoweza kupeleleza na hakiwezi kutoka
Hiki kifaa hata kinaweza kukuchunguza hata utumie VPN, upige window, uzime computer, n.k.
Kampuni ya Intel ina maabara kubwa za utafiti na...
Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini.
Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel.
Sa swali vipi Israel anawaogopa wa Al Houthi na wako mbali nae, hawana mpaka nae lazima kisha ona...
Ofisi ya Waziri Mkuu imeiagiza IDF kuweka vipaza sauti kote Gaza ili kurusha moja kwa moja hotuba ya Umoja wa Mataifa ya Waziri Mkuu Netanyahu kwa wakazi wa eneo hilo hapo say 10 jioni ya leo!
Channel 12 inaripoti kuwa maafisa wa kijeshi wanadaiwa kuelezea wasiwasi wao, wakionya kuwa hatua...
Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi.
Taarifa Kamili tutazipata baada ya ndege-vita hizo kulejea nyumbani. Wahouth Wame Una ugomvi huo kutoka kwa...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amezimiwa kipaza sauti kwenye mkutano maalumu wa kujadili umuhimu wa kuanzishwa taifa huru la Palestina, baada ya kuelekeza mashambulizi dhidi ya Israel akidai inachofanya Gaza ni mauaji ya kimbari.
Pia, alifananisha mateso ya Wapalestina wanayofanyiwa na...
Here’s what that recognition typically symbolizes:
1. Legitimacy of Palestinian Statehood
It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”).
This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty.
2...
Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West
Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms after global embargoes
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu speaks to members of a...
Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita.
Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.