israel

  1. The Zanzibar Echo

    Israel kuwatuma wanajeshi 50,000 wa akiba Gaza

    Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ameuidhinisha mpango wa kijeshi wa kuuteka mji wa Gaza na pia ameidhinisha hatua ya kuwashirikisha askari wa akiba katika zoezi hilo Wizara ya Ulinzi ya Israel imethibitisha kwamba majenerali wakuu tayari wameidhinisha operesheni hiyo mpya inayolenga...
  2. 100 others

    Israel Taifa La Mungu

    Mungu aliahidi jambo hili katika kitabu cha Mwanzo 12:3 alipomwambia Ibrahimu ya kuwa:”….Nitawabariki wakubarikio….Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”. Unaweza kuungana nasi katika kuibariki Israeli kwa njia zifuatazo: 1. OMBEA NCHI YA ISRAELI Nchi ya Israeli haipo pale kama nchi...
  3. Echolima1

    Israel kuzindua ofisi ya Ubalozi huko Zambia!!!

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa’ar ataondoka leo (Jumanne) kwa ziara ya kidiplomasia barani Afrika, ambapo atazindua Ubalozi wa Israel nchini Zambia. Akiwa nchini Zambia, Waziri Sa’ar atakutana na Rais Hakainde Hichilema, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mulambo Haimbe, na...
  4. Echolima1

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir Asema Rais wa Syria Al Jolan auwawe!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha, na kubaka hapaswi kujadiliana naye, suluhisho pekee na al-Jolani ni kumuangamiza bila huruma yoyote...
  5. Echolima1

    Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi Uajemi!!!

    Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!! Pichani hapo ni Damascus Syria hebu waangalie askari wa Syria wanavyozimenya mbio kukimbia baada ya ndege-vita za Israel kute Bełda jiji hilo...
  6. M

    Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

    Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel". Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel...
  7. Echolima1

    Kuna uwezekano mkubwa Iran atatandikwa tena bila huruma na Israel

    https://www.youtube.com/live/rd4iTiIAyWE?si=Ln7ESumnzg-nX6oS Je, Israel iko tayari kuishambulia Iran tena kabla ya mwaka kuisha? Majenerali wakuu wa Iran wamekiri wazi kuwa wanajiandaa kwa vita vikubwa na vyenye umwagaji damu zaidi — na Netanyahu amefichua maelezo ya kushangaza kuhusu maendeleo...
  8. Echolima1

    Russia yawasaidia Iran kutengeneza mifumo ya vita iliyoharibiwa na Majeshi shupavu ya Israel kipindi cha vita ya siku 12

    ❗️Ndege za usafiri za kijeshi za Urusi ziliripotiwa kutua katika kambi kadhaa za jeshi la wanahewa nchini Iran katika siku kadhaa zilizopita. Utawala wa ayatollah unaonekana kurejesha haraka vikosi vyake vya kijeshi baada ya pigo kubwa walilopata katika Operesheni ya Simba inayoinuka ya Israel...
  9. HIMARS

    Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

    Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia. Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo. Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali...
  10. M

    Ni Mungu yupi anayemhubiri Mwamposa kiasi cha kuwabariki wasiomuamini Mungu wa Israel

    Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
  11. Sir John Deere

    Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

    Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣 Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother...
  12. Mi mi

    Mpango wa Greater Israel bado huu hai Netanyahu athibitisha

    Hawa waarabu mpango wa greater Israel huu hai Netanyahu kawatonya tena wakae wakijua watafuatwa mmoja baada ya mwingine kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake kwenye ile greater Israel. ===================== Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anatazama hirizi inayoonyesha “ramani ya Nchi ya Ahadi,”...
  13. S

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wacharuka kuhusu matamshi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu dhana ya “Israel Kuu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE ilitoa taarifa kwa lugha kali ikilaani kabisa matamshi ya Netanyahu kuhusu “Greater Israel” ambayo yaliwezekana yakimaanisha kueneza eneo la Israel kuzidi mipaka yake iliyothibitishwa kimataifa. UAE ilisema matamshi hayo ni ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na...
  14. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

    Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
  15. S

    Seneta wa Marekani atishia taifa lake kwa adhabu ya Mungu kwa kuacha kusaidia Israel

    Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu. Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya “Silver Elephant Gala” huko South Carolina, Graham alisisitiza kuwa Israel ni mshirika wa karibu zaidi wa...
  16. leodigardcyrilo

    Napata shida kwenye vita ya Israel na Palestine

    Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
  17. Mlaleo

    Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  18. Dalton elijah

    Balozi Mike Huckabee — Hazina Kuu ya Kifahm na Kifikra kwa Israel

    Ni nadra sana kushuhudia Piers Morgan akikubali mtazamo wa dunia ulio tofauti kabisa na msimamo wake. Piers Morgan, ambaye yeye mwenyewe ni mashine kali ya hoja na fikra, anajulikana kwa kuingilia hoja za wapinzani wake na mara nyingi kuzikatisha au kuzipangua vilivyo katika mijadala. Lakini...
  19. JanguKamaJangu

    Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  20. Ritz

    Ujerumani kusitisha uuzaji wa silaha kwa Israel zinazoweza kutumika Gaza, Merz asema

    Wanaukumbi. Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza. Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
Back
Top Bottom