israel

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye kubadilishana mateka kati ya Israel na Hamas

    Wanaukumbi. Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire.. === Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa nyara wa Kipalestina chini ya usitishaji vita wa Gaza...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wauaji wakubwa wakiandaliwa tayari kuachiwa huru katika magereza ya Israel

    Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Israel ina teknolojia mbona walishindwa kupata mateka wao

    Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga. Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi? Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi shupavu ya Israel yaanza kujisogeza huko Gaza

    Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Trump atapata tuzo ya Nobel Prize akifanikiwa kumaliza vita kati ya Gaza?

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amejiweka katikati ya mazungumzo kuhusu amani ya Gaza, akionyesha juhudi binafsi za kuhakikisha makubaliano yanafikiwa haraka. Tofauti kubwa katika mazungumzo haya ni jinsi Trump mwenyewe anavyoshiriki moja kwa moja, akiwashinikiza pande zote mbili – Israel na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

    Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Walioitenga Israel wanaendelea kudhoofika na wanayoiunga Mkono Israel wanaendelea Kustawi?

    Rais Trump: "Historia imetuonyesha kwamba wale walio na uhusiano na Israeli wamestawi, wakati wale ambao wamejitolea rasilimali zao kuangamiza Israeli wamedhoofika"
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

    Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  15. Zacht

    JamiiForums Tanzania Hispania yatishia kususia Kombe la Dunia la 2026 endapo Israel itaruhusiwa kushiriki kombe hilo

    Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez, imesema kuwa inaweza kuondoa timu yake ya taifa kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la 2026...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Israel wamechanganyikiwa

    https://youtube.com/shorts/BcPMdncuO2M?si=d_GrBtIPloZPcaqo Hivi atasubutu kumgusa China, nimebidi kucheka tu.
  17. Zacht

    JamiiForums Tanzania Timu ya Baiskeli ya Israel imepigwa Marufuku Kushiriki kwenye Mashindano Italia

    Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia. Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono uamuzi wa kuitoa timu hiyo.baana kupata shinikizo kutoka wananchi,wadau ,na vyama vya mchezo huo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuwakwepa Israel ngumu sana maana ndio waliobuni kifaa hiki cha kupeleleza kinachowekwa kwenye computer nyingi duniani

    Kuwakwepa Israel ngumu sana. Ndio waliobuni kifaa kinachowekwa kwenye laptops na computer nyingi duniani kinachoweza kupeleleza na hakiwezi kutoka Hiki kifaa hata kinaweza kukuchunguza hata utumie VPN, upige window, uzime computer, n.k. Kampuni ya Intel ina maabara kubwa za utafiti na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Israel Anasema Al Houthi Wanatakaa kuwavamia Kwa Ground War

    Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini. Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel. Sa swali vipi Israel anawaogopa wa Al Houthi na wako mbali nae, hawana mpaka nae lazima kisha ona...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
Back
Top Bottom