Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo.
Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda.
Lakini mtu wa namna hii unaweza kukuta ni mwajiriwa anayefanya kazi kwenye idara ya kijasusi. Japo...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.
1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General...
MAPUMZIKO: Jeshi la Wanajeshi la IDF laishambulia Hezbollah Nambari 2 mjini Beirut.
Ofisi ya Waziri Mkuu yathibitisha shambulio la anga la usahihi katikati mwa Beirut linalomlenga Haytham ‘Ali Tabataba’i, aliyetambuliwa na vyombo vya habari vya Kiebrania kama mkuu wa utawala wa Hezbollah...
Iran haina maji ya kutosha kwa sababu ya mchanganyiko wa sababu za kijiografia, hali ya hewa, ongezeko la watu, na matumizi mabaya ya rasilimali za maji. Hapa chini ni maelezo kwa ufupi na kwa urahisi:
1. Ni nchi ya jangwani
Zaidi ya 90% ya Iran ni maeneo kavu au yenye joto kali, mvua ni...
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo.
Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu.
Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu usiku kwa kura 39 za ndiyo na 16 za hapana.
Mswada uliopendekezwa na chama cha Jewish Power cha...
Dar ni automatic sauna
Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.
Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa...
Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi
Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90)
Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel.
Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱
Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati linasafiri. Halihitaji GPS kujenga Shabaka . wewe Eleza tu, laser, na kombola linaendelea kuharibu...
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake.
Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.