Taiwan yaiunga mkono Israel kuitambua Somaliland

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,570
Reaction score
53,584
Taiwan inaonekana kuwa nchi ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa Israel kuitambua Somaliland.

Ijumaa Israel ilitangaza kuitambua rasmi Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo, hatua ambayo imekosolewa vikali na mataifa yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu.

Katika taarifa yake, wizara ya mambo ya nje ya Taiwan imesema Israel, Somaliland na Taiwan ni washirika wenye mtazamo unaofanana katika kuenzi misingi ya demokrasia, uhuru na utawala wa sheria, kwa mujibu wa tovuti ya Focus Taiwan.

Israel ina uhusiano mzuri wa kirafiki na Taiwan pamoja na ushirikiano wa kibiashara, ingawa uhusiano wao wa kidiplomasia si rasmi sana kutokana na Israel kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Jamhuri ya Watu wa China.

Kwa mujibu wa Focus Taiwan, Taiwan na Somaliland zimekuwa zikijenga uhusiano wa pande mbili kwa miaka kadhaa, na mwaka 2020 zilifungua ofisi za uwakilishi katika miji mikuu ya kila upande.

-------------

Taiwan has seemingly become the first country to welcome Israel’s recognition of Somaliland.

Israel on Friday became the first country in the world to recognize the breakaway Somalian region as an independent state, drawing widespread condemnation from countries backing Mogadishu.

In a statement, the foreign ministry in Taipei says Israel, Somaliland and Taiwan are “like-minded democratic partners sharing the values of democracy, freedom, and rule of law,” according to the Focus Taiwan news site

Source: Times Of Israel
 
AU haiwezi kukubali huo ujinga.

Kwa Afrika ni nchi moja tu inayowalamba matrakoo weupe ndio imekubali kuitambua hiyo nchi ya mchongo.
 
Unazungumzia Afrika ipi mkuu
 
Taiwan inaonekana kuwa nchi ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa Israel kuitambua Somaliland.

Ijumaa Israel ilitangaza kuitambua rasmi Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo, hatua ambayo imekosolewa vikali na mataifa yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu.

Katika taarifa yake, wizara ya mambo ya nje ya Taiwan imesema Israel, Somaliland na Taiwan ni washirika wenye mtazamo unaofanana katika kuenzi misingi ya demokrasia, uhuru na utawala wa sheria, kwa mujibu wa tovuti ya Focus Taiwan.

Israel ina uhusiano mzuri wa kirafiki na Taiwan pamoja na ushirikiano wa kibiashara, ingawa uhusiano wao wa kidiplomasia si rasmi sana kutokana na Israel kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Jamhuri ya Watu wa China.

Kwa mujibu wa Focus Taiwan, Taiwan na Somaliland zimekuwa zikijenga uhusiano wa pande mbili kwa miaka kadhaa, na mwaka 2020 zilifungua ofisi za uwakilishi katika miji mikuu ya kila upande.

-------------

Taiwan has seemingly become the first country to welcome Israel’s recognition of Somaliland.

Israel on Friday became the first country in the world to recognize the breakaway Somalian region as an independent state, drawing widespread condemnation from countries backing Mogadishu.

In a statement, the foreign ministry in Taipei says Israel, Somaliland and Taiwan are “like-minded democratic partners sharing the values of democracy, freedom, and rule of law,” according to the Focus Taiwan news site

Source: Times Of Israel
Zanzibar nayo inapaswa kuunga mkono hatua ya Israel kuitambua Somaliland.
 
Sidhani kwa sasa kama hicho kisiwa bado kinataka hizi mambo za kutenganishwa, wacha kineemeke kwanza labda miaka ya baadaye kidogo.
 
Taiwan inaonekana kuwa nchi ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa Israel kuitambua Somaliland.

Ijumaa Israel ilitangaza kuitambua rasmi Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo, hatua ambayo imekosolewa vikali na mataifa yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu.

Katika taarifa yake, wizara ya mambo ya nje ya Taiwan imesema Israel, Somaliland na Taiwan ni washirika wenye mtazamo unaofanana katika kuenzi misingi ya demokrasia, uhuru na utawala wa sheria, kwa mujibu wa tovuti ya Focus Taiwan.

Israel ina uhusiano mzuri wa kirafiki na Taiwan pamoja na ushirikiano wa kibiashara, ingawa uhusiano wao wa kidiplomasia si rasmi sana kutokana na Israel kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Jamhuri ya Watu wa China.

Kwa mujibu wa Focus Taiwan, Taiwan na Somaliland zimekuwa zikijenga uhusiano wa pande mbili kwa miaka kadhaa, na mwaka 2020 zilifungua ofisi za uwakilishi katika miji mikuu ya kila upande.

-------------

Taiwan has seemingly become the first country to welcome Israel’s recognition of Somaliland.

Israel on Friday became the first country in the world to recognize the breakaway Somalian region as an independent state, drawing widespread condemnation from countries backing Mogadishu.

In a statement, the foreign ministry in Taipei says Israel, Somaliland and Taiwan are “like-minded democratic partners sharing the values of democracy, freedom, and rule of law,” according to the Focus Taiwan news site

Source: Times Of Israel
Waislamu wenye itikadi za kiburi ni lazima watokomezwe popote duniani ni washenzi sana wale nguruwe.
 
Nchi zote zenye serikali yao na zinajiendesha zinapaswa kutambuliwa kama nchi kamili
 
Hapo naona mpango unaandaliwa Wapalestine waondolewe na kupelekwa Somaliland.

Kweli Israel awe wa kwanza? Kwa lipi?
Kweli geographically imekaa vizuri kwa mambo ya kivita, lakini hapana maana mataifa mengi yamewekeza Djibouti zaidi.

Hapa wanataka kuweka makazi ya Palestinians kwa nguvu
Huenda Trump nae yupo nyuma ya haya

Nimewaza tu kwa sauti
 
Back
Top Bottom