israel

  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Huu ubabe wa Israel kwenye kuteka anga za mataifa ya ukanda wote huo unatisha sana

    Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000 Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

    Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ile Oktoba 17 Israel ilishirikiana na Hamas wasio waaminifu kufanya ule Mtego

    Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu. Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yemen yalaani shambulio la Israel, yasema linakwamisha juhudi za Amani za Palestina

    Wanaendelea Kubweka. ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE. ANAKUPIGIA POPOTE ANAPOTAKA. WAULIZENI IRAN WANAELEWA HILI JAMBO. Wizara ya mambo ya nje ya Yemen imesema kuwa shambulio la Israel “linadhoofisha juhudi za kikanda na kimataifa zinazolenga kumaliza vita dhidi ya wananchi wa Palestina” na...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Doha

    Wanaukumbi. ⚡️🇶🇦BREAKING: Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mgomo wa Israel dhidi ya Doha: "Nchi ya Qatar inalaani vikali shambulio la woga la Israeli ambalo lililenga majengo ya makazi ya wanachama kadhaa wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Shambulio...
  9. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

    Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA. Kwa habari Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea Who are the Hamas leaders in Qatar? Jeshi la...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Israel vipaji maalum wanafanywa Watunga Sera na kuajiriwa Taasisi za Ujasusi. Sie kipaji maalum kiko Jela halafu tunalalamika

    Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wahouth wa Yemen wanavyomtembezea Israel kichapo

    Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha. Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya Tela Aviv Echolima1 ana habari au hana https://youtu.be/TdhfkMlnqO4?si=4w2kvIo5g4FeuHEj
  12. I

    JamiiForums Tanzania Israel launches new spy satellite with unique capabilities in the world

    Israel says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials, the satellite can take images of objects as small as 50 centimeters in size, day and night. Israeli...
  13. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Kwa kelele hizi, itakua kweli houthi wameshusha kisago Israel

    Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel akishuhudia Setalaiti OFEK-19 ikirushwa angani!!!

    Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!! HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA Wow, Israel imezindua silaha yake...
  16. Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Israel, IDF,Sasa Hivi Latumia "Suicide Drones" Kuua Magaidi Wengi Wa Hamas Huko Gaza

    Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani. ..... The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu. Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako Israel hushambulia...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wasema hawawezi kuhama na hawana pa kwenda palipo salama.Wanasubiri wapigwe nyuklia na Israel

    Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote. Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale. Mmoja wao...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Belgium, kutambua taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kuiwekea vikwazo Israel

    Wanaukumbi. Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba vikwazo vitawekwa kwa serikali ya Israeli. "Palestina itatambuliwa na Ubelgiji katika kikao cha...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel Aerospace Industries (IAI) Wakiwa kazini kuinufaisha dunia!!

    Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️ Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
Back
Top Bottom