israel

  1. Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  2. Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  3. Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

    Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones. ================== Israel...
  4. Kama mafanikio ya Taifa la Israel kwa sasa kunasababishwa na utukufu wao, Je kipindi walichokuwa wanafeli tuhesabu vipi?

    Habari za muda huu wana JF. Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya hoja zinazotumika; Amezungukwa na maadui pande zote lakini hawamuwezi kila mipango yao...
  5. Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  6. Israel na Lebanon zaendelea kushikamana na kuingia makubaliano mengi

    Inapaswa waswahili mliopandikizwa chuki na waarabu za kuichukia Israel muanze kubadilika maana wenye dini zao huko wanaendelea kushikamana na kuingia makubaliano ya kindugu, mpunguze povu huko kwa Mtongole. Israel's Security Cabinet on Wednesday voted in favor of the U.S.-brokered maritime...
  7. Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  8. Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  9. Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

    Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
  10. Naibu kamanda mkuu wa Jeshi la Israel aangamizwa na Wapalestina

    Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko. Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal reconnaissance unit, who was killed last night in a shootout with Palestinian resistance fighters...
  11. Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

    Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
  12. T

    Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

    Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile...
  13. S

    Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
  14. Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria. Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three...
  15. Mbona wanajikomba kwa Israel

    Wana dunia, Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa Amerika wanajua juu ya taifa hili kongwe. Je kitu gani hichoo? Kwa ufupi raia wa Amerika kama watu...
  16. S

    Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

    Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na kutesti nguvu ya makombora ya Urusi anasema kuwa mfumo huo wa Iron Dome umeundwa kwa ajili ya kuzuia...
  17. Leo July 4th ni kumbukumbu ya Entebe Raid

    Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza makomandoo hatari duniani kuwaokoa ndugu zao wasiuawe na magaidi ya Kipalestina. Shujaa huyu Jonathan...
  18. Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  19. Israel: Waziri Mkuu avunja Serikali ya Muungano

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa. Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
  20. Today Israel Celebrates Six Day War Anniversary

    Today marks the beginning of the Six-Day War in 1967. Israel, who was overwhelmingly outnumbered in men, tanks, and planes - defeated an Arab coalition of 13 countries. We honor the ones who made the ultimate sacrifice for the sake of Israel's survival. #Israel Via JOFF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…