israel

  1. Joe Biden kwenda Israel kesho

    Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kutembelea Israel kesho Jumatano katika kile kilichoripotiwa kuwa ni kuthibitisha kujitolea kwa Marekani kwa usalama wa Israel, hatua hiyo inakuja huku Israel ikipewa wito wa kufungua njia kuruhusu misaada kuingia Gaza. Kwa mujibu wa majasusi nilionao...
  2. Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

    Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe...
  3. Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

    Israel imezidi kuonesha unyama wake na kibri kilichopitiliza ada kwa kukataa kufungua mpaka wa Rafah ili raia wa nchi rafiki zake waweze kuondoka Gaza. Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema malori mengi ya misaada ya kibinadamu yapo mpakani tayari kuingia Gaza na upande wao uko wazi kwa...
  4. Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  5. K

    Msikilize Rais Joe Biden kuhusu mpango wa Israel 1986

    Wengi tunatazama mgogoro wa Palestine na Israel katika sura ya kidini,ila ukweli ni kua kinavhogombaniwa hapo ni ardhi na pia maslahi ya nchi kama Marekani na wabia wake kwenye kulinda maslahi yao mashariki ya Kati. Ukienda kidini, wakrsito wengi wanasapoti Israel wakifikiri ndio mzizi na...
  6. Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "π‘Όπ’”π’Šπ’π’‚π’π’† 𝒏𝒂 π’Žπ’•π’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’•π’–...
  7. Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  8. Israel yaagiza watu waondoke Sderot huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote

    Operesheni bado iko pale pale.... ======= The evacuation of residents from the Gaza border town of Sderot is set to begin in the coming hours. The municipality emphasizes that evacuation is not mandatory, but that it recommends residents leave the area. Residents are being moved to hotels in...
  9. Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

    Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli. Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
  10. Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  11. Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN β€” The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
  12. Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  13. Z

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
  14. Wakristo wanaoishabikia Israel wametekwa nyara

    Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni za nchi changa na zile zinazoendelea. Madhehebu za dini ya kikristo zilizo katika nchi ya Marekani...
  15. HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  16. Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  17. Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  18. M

    Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    Mzuka wanajamvi! Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas. Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na...
  19. Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  20. B

    Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…