Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,722
29,086
Mzuka wanajamvi!

Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas.

Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na waturuki kwa kuwakandamiza na kuwaua kwa kutetea kupata taifa Lao la Kurdistan.

Ikumbukwe hata wanawake wengi wakurd hawapendi kuvaa hijab wanadai ni mila ya kiarabu.

Na ndio wengi wao walikuwa wakiandamana Iran kupinga kulazimishwa kuvaa Hijab.

Mungu wabariki wakurd na Wayahudi.

flag.jpg
istockphoto-1334735886-612x612.jpg

Cc CARDLESS
 
Hata, Waswahili ambao huvaa mikanzu kila Ijumaa na kuongea ongea Kiarabu hawajaandamana huku.
Nilisubiri kuwaona Ijumaa nje barabarani wakibwatuka alah Akbar, death to Israel, death to America, kisha jioni warudi Uswahilini kula ubwabwa na kulala zao.
 
Mzuka wanajamvi!

Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas...
Ulienda kwenye ubalozi wa palestina? Waislam sio lazima tuandamane sisi huwa tunawasomea dua ndugu zetu waliyoko katika hatarini ya vita dhidi ya madhalimu mayahudi. Dua kwetu ni jambo la muhimu na la busara kuliko maandamano
 
Mzuka wanajamvi!

Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas...
Now turns to religious conflict I see it n
 
Ulienda kwenye ubalozi wa palestina?? Waislam sio lazima tuandamane sisi huwa tunawasomea dua ndugu zetu waliyoko katika hatarini ya vita dhidi ya madhalimu mayahudi. Dua kwetu ni jambo la muhimu na la busara kuliko maandamano
Mbona Allah asilkilizi dua zenu anawaogopa wateule Israel nakujificha? Aende sasa awakomboe wapalestina.
 
Mbona Allah asilkilizi dua zenu anawaogopa wateule Israel nakujificha? Aende sasa awakomboe wapalestina.
See northern part of Sahara desert life style and economic, UAE ,and some countries of medle East wapo very well,in every thing.....utajiri flan HV then check South of Sahara countries , tortoise economic growth, wamba wanaweza pigana Vita miaka Ila waki simama Tu maendeleo Kama hakujawah kuwa na Vita Ila huku Kwetu sweken hakusomeki, angalia hata list ya matajir bongo na duniani , I swear to god if Arabs were poor ,wangekuwa wahanga nambari moja wa ubaguzi wa rangi......chuki chuki chuki
 
Sasa mbona kashindwa kuiangamiza Israel wakati wote waislam kwenye Sala zenu kila siku mnamwomba aiteketeze. Aende basi. Alivyo muoga kajificha amewaacha tu mkibweka Allah akbar mkijifariji. Aende basi alifute taifa tukufu teule la Mungu wa kweli kama ana ubavu huo.
 
Hata, Waswahili ambao huvaa mikanzu kila Ijumaa na kuongea ongea Kiarabu hawajaandamana huku.
Nilisubiri kuwaona Ijumaa nje barabarani wakibwatuka alah Akbar, death to Israel, death to America, kisha jioni warudi Uswahilini kula ubwabwa na kulala zao.
masheitwaani
 
Mbona Allah asilkilizi dua zenu anawaogopa wateule Israel nakujificha? Aende sasa awakomboe wapalestina.
Kama tunaamini Mungu anawateule wake then sis ni nan hasa....si ni Sawa na nyani Tu, why are we struggling and the path is not fair , kwanini tupimwe Kwa matendo yetu ukiwa kunawatu Wana siti mbinguni bila kujali lolote wala dhambi yote.

Suleiman wake Mia Sana na ana siti mbinguni na alizaa vizaz vyenye baraka Ila mm na ww ni zambi kubwa , mtume alipigana Vita na ana siti mbinguni Ila we pigana Vita uone.

Wengine walinywea pombe vikombe vya hekaruni na wapo fair mwingine aliiba baraka za Kaka yake as if baraka mi material thing kumbe ni intangible na akabarikiwa kweli, wengine wanauwana na tunashangilia , wengine wanajiona special ....wake up dude
 
See northern part of Sahara desert life style and economic, UAE ,and some countries of medle East wapo very well,in every thing.....utajiri flan HV then check South of Sahara countries , tortoise economic growth, wamba wanaweza pigana Vita miaka Ila waki simama Tu maendeleo Kama hakujawah kuwa na Vita Ila huku Kwetu sweken hakusomeki, angalia hata list ya matajir bongo na duniani , I swear to god if Arabs were poor ,wangekuwa wahanga nambari moja wa ubaguzi wa rangi......chuki chuki chuki
Jitu jeusi tii kama tako la iddi Amin linatamani kuwa mwarabu na una sijdah inaonekana. Unajituma kwenye uislamu hata kuliko waarabu wenyewe kisa umeahidiwa ukifa kwenye uislamu utabadilika na kuwa mwarabu.
 
Are u brave enough to be a jamii forum member?.....Can you quote some surats to prove your points , may be videos, hata haya makundi ya kigaidi yanayojitambulisha kwa dini ni egos tu, hamas ni zao la israel wenyew ,osama ni zao la marekan, kuna dini , kuna tamaduni za mataifa ya kiarabu , kuna maslah binafsi na mengineyo mengi yote tuna connect dots na kuhukumu, mfano mwarabu akichinja mtu vitan au katika mission flan akasema allah akbar, manake mungu mkubwa, na mmarekani akiuwa mtu vitan akasema I killed this mather fucking paster infront of his fellow cock sucker, hakuna utofaut.

Shida ya arabs wote no dini moja ,hata mtu binafsi akipiga tukio itaonekana ni mwislam na kwakuwa anevaa kanzu basi ni tutageneralize, allah ni jina tu la muumba katka lugha ya kiarabu , mungu wa ibrahim ndio mungu wa waarab , mungu wa dawd ni wao na wayahud, isihaka , yakub na nabii adam.

Mungu hujibu kwa wakati mungu hakuwajibu chochote wana wa israel walipopigwa na hitler,na warumi, na wengineo zaman ila anawajibu leo kwa kishindo, shalom!

Kwahyo mungu aliewapa furaha waarab had 1948 kaamua kuwapa israel,pengine watu wa ghaza wakaanza maisha mapya na ya furaha, Japan wanafuraha wa maendeleo ,aman na uvumbuz lakin walipigwa vibaya nagasaki mungu kaamua kukupa furaha bila kumuua adui.

Mungu atajib akitaka , mungu kaamua rasilimali ziwe chache ko yeye anampa amtakae baada ya kuchukuwa kwa amtakae, punguza mihemko jenga hoja

Sasa mbona kashindwa kuiangamiza israel wakati wote waislam kwenye sala zenu kila siku mnamwomba aiteketeze. Aende basi. Alivyo muoga kajificha amewaacha tu mkibweka allah akbar mkijifariji. Aende basi alifute taifa tukufu teule la mungu wa kweli kama ana ubavu huo.
 
Mbona Allah asilkilizi dua zenu anawaogopa wateule Israel nakujificha? Aende sasa awakomboe wapalestina.
Mbona yehova hakuwaokoa wayahudi kutoka mikononi mwa Hitra badala yake wakaja kuokolewa na Usoviet?
 
Jitu jeusi tii kama tako la iddi Amin linatamani kuwa mwarabu na una sijdah inaonekana. Unajituma kwenye uislamu hata kuliko waarabu wenyewe kisa umeahidiwa ukifa kwenye uislamu utabadilika na kuwa mwarabu.
Mkuu mbona unatukana matusi sasa, afu mm sio muislam ,naishi poa na waislam Nina ndugu na waislam na Wanatokea misaada toka makanisa ya RC na sponsor ship mbali duniani, pia hakuna sehem uislam umesema Mtu akifa anageuka mwarabu, niga Jenga hoja usitukane
 
Wakurdi na waarabu huwa hazipandi kabisa kwa sababu za kihistoria hasa baada ya waarabu kushirikiana na Ottoman kuhakikisha hawapati taifa lao la kikurdi.

Kuhusu kuvaa hijabu sio mila za kiarabu bali lipo kisheria kwasababu waisilam wameamlishwa kujistiri.

Wapo wakurudi kibao wanavaa hijabu ,na pia wapo waarabu kibao hawavai hijabu japo kuwa ni waisilam, nadhani mtu kutovaa hijabu ni utashi wake na si kwasababu ni mkurdi.
 
Jitu jeusi tii kama tako la iddi Amin linatamani kuwa mwarabu na una sijdah inaonekana. Unajituma kwenye uislamu hata kuliko waarabu wenyewe kisa umeahidiwa ukifa kwenye uislamu utabadilika na kuwa mwarabu.
Unayumba Sana maghayo, idd Amin na matako sio hoja ishu evidence usichukie watu Kwa dini zao, tusishangilie Gia ilihali hatuna manufaa na chombo, Kwa kiasi flan naanza kuhis tunaenda diko, manabii hawakuwa na dini Bali walieneza Neno la Mungu Ila nitume walikuwa na dini mfano Muhammad na uislam ,Paulo na ukristo ,hata ukiangalia yesu hakuna sehem alijiita nkristo Ila alipoondoka ukazaliwa ukristo, kupitia Paul , tupunguze chuki mkuu Mungu jumps amtakae Mungu hakumruhusu Musa kuingia canan japo ndo aliwatoa Egypt, Mungu alimnyima Ismail urith japo ni Mtoto wake, Mungu aliwanyang'anya urithi watoto kumi WA Israel akanuachia yuda na ndo aliekomaa na Jerusalem, Leo anatia hapa kesho pale
 
Hata, Waswahili ambao huvaa mikanzu kila Ijumaa na kuongea ongea Kiarabu hawajaandamana huku.
Nilisubiri kuwaona Ijumaa nje barabarani wakibwatuka alah Akbar, death to Israel, death to America, kisha jioni warudi Uswahilini kula ubwabwa na kulala zao.
Lo!wewe jamaa,bila shaka umekaa maeneo ya pwani.cha msingi tumuombe Yehova ili mwisho uwe salama
 
Nipo na waIRAN wengi sana CANADA, jamaa hawaupendi UISLAM KUFA, na wengi wakifika hapa wanakuwa wakristo

DV lottery mwaka jana imebeba waIran 4000+, Wamisri 4000, wa SAUDI ALIPOFIA MTUME 4000+

Hamasi wakipewa GAZA leo, Palestina haikaliki
 
Back
Top Bottom