25/11/2023 Meli ya Israel yashambuliwa na drones za Iran

Road Traffic Signal

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
627
1,937
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran."

Afisa huyo alizungumza na shirika la habari la Associated Press kwa sharti la kutotajwa jina na kusema kuwa meli hiyo ililengwa ikiwa katika maji ya kimataifa na ndege isiyo na rubani ya Shahed-136 iliyokuwa imebeba bomu.

Kulingana na afisa huyo, ndege hiyo isiyo na rubani ililipuka na kuharibifu wa meli hiyo bila ya kuwajeruhi wafanyakazi wake.

Kituo cha habari cha Al-Mayadeen kiliripoti kuwa meli ya mizigo ya Israel ilishambuliwa kaskazini mwa Bahari ya Hindi usiku wa kuamkia leo, saa chache kabla ya kuanza kwa usitishaji vita, tukio ambalo lilithibitishwa na vyombo vya habari vya Iran.
 
Iran anachokitafuta atakipataaaa
 
Houthis wana bahati wapo mbali sana toka Israel vinginevyo wangekuwa wanakipata laa sivyo Saudi aruhusu anga lake litumike
 
Israel hana ubavu wa kupambana vita moja kwa moja na Iran.
Hawezi kujibu chochote katika shambulio la meli la hivi leo.

Ayatollah atakurupuka na mashuka yake akimbilie Yemen mwenzenu habari za bikra 72 na mito ya pombe bado hataki kwa sasa msimponze, wachokozeni watu ambao wanadetails zenu zote.
 
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran."

Afisa huyo alizungumza na shirika la habari la Associated Press kwa sharti la kutotajwa jina na kusema kuwa meli hiyo ililengwa ikiwa katika maji ya kimataifa na ndege isiyo na rubani ya Shahed-136 iliyokuwa imebeba bomu.

Kulingana na afisa huyo, ndege hiyo isiyo na rubani ililipuka na kuharibifu wa meli hiyo bila ya kuwajeruhi wafanyakazi wake.

Kituo cha habari cha Al-Mayadeen kiliripoti kuwa meli ya mizigo ya Israel ilishambuliwa kaskazini mwa Bahari ya Hindi usiku wa kuamkia leo, saa chache kabla ya kuanza kwa usitishaji vita, tukio ambalo lilithibitishwa na vyombo vya habari vya Iran.
Iran ikianza kulipuliwa meli zake za mafuta

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom