iphone

  1. JamiiForums Tanzania NIPO DUBAI ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช โ€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine GENUINE.

    ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช NIPO DUBAI! NAKULETEA SIMU NA ELECTRONICS DAR ES SALAAM KWA UAMINIFU SAMSUNG GALAXY USED Galaxy S10 128GB โ€” TSh 180,000 Galaxy S10+ 128GB โ€” TSh 200,000 Galaxy S20 128GB โ€” TSh 230,000 Galaxy S20+ 128GB โ€” TSh 270,000 Galaxy S20 Ultra 128GB โ€” TSh 300,000 Galaxy S21 128GB โ€” TSh 250,000...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ”ฅ Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA YAMNASA ABIRIA JKIA NA iPHONE ZA Sh8.2M - KWANI KUNA KOSA?

    Mamlaka ya ukusanyaji wa kodi KRA imenasa iPhone 40 aina ya iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max zenye thamani ya takriban Sh8.2 milioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Kilichowafanya maafisa wa forodha kumtilia shaka abiria huyo si mizigo pekee, bali pia ratiba yake...
  4. JamiiForums Tanzania Aliomba Iphone kwa wapenzi wake 20, kisha akaziuza na kununua nyumba

    Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya iPhone 7. Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari wakati huo, Xiaoli...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI โ€ฆ. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo โ€ฆ Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni โ€ฆ. Kivipi ?โ€ฆ. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ

    Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu ๐Ÿ‘‹ WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili โšก๐Ÿ“ฑ Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2ร— speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max

    Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa viwango vya sasa vya ubadilishaji. Simu hizo zimekuja na chip mpya ya A20 Pro, iliyotengenezwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  9. JamiiForums Tanzania Apple washakinukisha huko na iPhone 18, lindeni migongo yenu.

    Mie sina mengi ila nawasihi nyinyi mabinti na vijana wa mjini msio na kazi za maana lakini mnataka kumiliki iphone kila toleo jipya "Lindeni migongo yenu" mgongo ni kiungo muhimu sana
  10. JamiiForums Tanzania Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

    Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye iPhone. Apple inasemekana imeandaa maboresho makubwa kwenye iPhone 18 Pro, huku baadhi ya mabadiliko...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Three Arrested Over iPhone Theft at King Saha Show

    Kampala Metropolitan Police South, through Nateete Police Division, has arrested three suspects in connection with the theft and possession of a suspected stolen iPhone 11. The arrests followed a video circulating on social media showing a woman crying after her mobile phone was reportedly...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 13 Plain 128 GB๐Ÿ’ฐ BEI: TSH 830,000

    iPhone 13 Plain โ€” 128 GB ๐Ÿ’ฐ PRICE TSH 830,000/= ๐ŸŽ FREE GIFTS: โœ… Free Cover โœ… Free Screen Protector ๐Ÿ“ kariakoo boss & masasi street โ˜Ž๏ธ0760118225
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

    Wakuu habari, Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji. Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo kama hili linaweza kuwa nini? Naomba msaada hasa kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili na...
  14. JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
  15. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  16. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฃ๐—ฃ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ง๐—›๐—œ๐—•๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—–๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—œ๐—š๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—œ๐—ฃ๐—›๐—ข๐—ก๐—˜ ๐—”๐—จ ๐—”๐—œ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa โ€œApple Reference Imageโ€ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. ๐Ÿคฏ Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  17. JamiiForums Tanzania iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

    Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax. iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Programu ya Mwendokasi haipatikani kwenye App Store na upatikaji wa kadi bado ni shida

    Abiria wa Mwendokasi ni wengi, lakini upatikanaji wa kadi za usafiri ni changamoto. Hali hii inalazimu baadhi ya abiria kusubiri mtu mwenye kadi na kumuomba awasaidie kuweka fedha ili waweze kutumia huduma. Pia, watumiaji wa iPhone wanakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa programu ya...
  19. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ”“๐Ÿ”ฅ ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—œ? ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ฏ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ!

    ๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  20. JamiiForums Tanzania IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

    IPhone ni EYEPhone = inakuangalia SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia * kuwa mtu wa kucheki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ