Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,968
Reaction score
6,706
Apple yatambulisha iPhone 18 Pro.

Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye iPhone.

Apple inasemekana imeandaa maboresho makubwa kwenye iPhone 18 Pro, huku baadhi ya mabadiliko muhimu yakilenga zaidi kile kilichopo ndani ya simu kuliko muonekano wake.

Kutoka kwenye A20 Pro ya 2nm, mfumo mpya wa kupooza, display yenye ufanisi zaidi wa matumizi ya nishati, hadi kamera inayoweza kupata variable aperture kwa udhibiti mkubwa wa mwanga na background blur ya asili.

Pia, iPhone 18 Pro inatarajiwa kupata sensor mpya ya kamera yenye tabaka tatu, Dynamic Island iliyopunguzwa ukubwa, pamoja na maboresho makubwa kwenye uwezo wa AI na connectivity kupitia chips mpya za Apple.

Kwa upande wa Pro Max, taarifa zinaelekeza kwenye betri kubwa zaidi, huku maboresho ya chip na display yakitarajiwa kusaidia kuongeza muda wa matumizi.

Kwa kifupi, Apple inaonekana kuandaa iPhone ambayo mabadiliko yake makubwa hayataonekana kwa macho tu — bali yataonekana kwenye performance, kamera, battery na AI.

Kati ya haya yote, ni feature gani ungependa kuiona zaidi kwenye iPhone 18 Pro?
===========
Apple introduces the iPhone 18 Pro.

Apple says the new iPhone 18 Pro and Pro Max deliver the best camera system, longest battery life and most powerful performance ever offered in an iPhone.

Screenshot 2026-09-09 202626.png
 
Mie sina mengi ila nawasihi nyinyi mabinti na vijana wa mjini msio na kazi za maana lakini mnataka kumiliki iphone kila toleo jipya "Lindeni migongo yenu" mgongo ni kiungo muhimu sana
 
Zingekua zinaisha sehemu za siri hili toleo wasingelipata.
 
Kwanini mnahusisha iPhone na uzinzi wa mtu?
 
Muda wa vijana kuweka rehani figo,mikundv na dada zetu muda wakutumiwa matundu yao yote umefika kazi kwenu
 
Wenye hela siyo wenzetu kubababake
 
Kwanini mnahusisha iPhone na uzinzi wa mtu?
wanaume wanazo siri... usione wanahusisha ukazan wanabuni wapo humu wanaotumia huo mwanya wa iPhone kutafta laana la kaumu Luti
 
Back
Top Bottom