iphone

  1. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale IPHONE 11 PRO MAX 256GB - 700,000/=

    Ni ya kurekebisha kioo tu, Ina face Id pia Battery health 85% Nakupa na box lake na chaja 0684223374
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania This is where the beef between Iphone & Android started

    Tuelezane watu wazima hapa nani ni mkorofi kwenye biashara ya mwenzake. Iphone Vs. Android
  3. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone 11 Boxed

    Boxed iPhone 11 Plain 64GB ni 650,000/- 128GB ni 710,000/- Offer Price🤝 Fixed Price🤝 CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 MASASI NA Likoma
  4. W

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X for sale

    Ina GB 64 Haina TT Haina Face Id Battery healthy 80% Mbezi magufuli
  5. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 11 pro mac

    iphone 11 pro max Storage 64gb Face ipoo Bh 💯 Bei 700,000 (fixed 🙏) Ubungo Darajani 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  7. Mafian cartel

    JamiiForums Tanzania Nauza hii phone 13 Pro

    Apple Iphone 13 pro 128 GB •Face id✅ •Battery health 81 •Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked) Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi Price 950,000/= Kimara Dar es salaam 0757187238
  8. Yasser Arafat

    JamiiForums Tanzania Iphone x 256gb kwa 250,000 tsh

    Wakuu habari Ninauza iphone x ina 256gb bei ni 250,000 tsh. Iphone x 256gb Battery 75% Goba dar es salaam 0628395636 - Direct call ama normal message
  9. Kyatile

    JamiiForums Tanzania Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X Tsh. 345,000/=

    Iphone X 🛑Storage 256Gb 🛑Clean 🛑True Tune✅ 🛑Face Id✅ 🔋BH 100% 💰Bei 345,000/= 📍Ubungo Darajani 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  12. Leejay49

    JamiiForums Tanzania iphone 11 plain for sale

    Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza, 128gb, Face id bado ipo Battery health now inasoma 73% Ina crake kidogo kioo cha nyuma,. Kama unahitaji hit my dm Asap! Kama uko Songea pia itapendeza zaidi, uje uione mwenyewe
  13. F

    JamiiForums Tanzania Camera ya iPhone

    Habari iPhone 12 imeingia Maji camera Hazipo Sawa na Face ID haisomi Msaada
  14. Red shadow

    JamiiForums Tanzania icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  15. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone X 64gb

    Iphone X 64gb Face ipo Battery 100 Power button haifanyi kazi 0743586474
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mwanamke kwenye gari na iphone hachomoki

    Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao; 1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama...
  17. D Mtanzania

    JamiiForums Tanzania iPhone ni Simu Pekee inayokuepusha na Wadakuzi au Kupelelezwa

  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  19. D Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Iphone hiyo Space inamaana gani Au Inajazwaje?

    Msaada Kwenye Mshale Unajazaje Hiyo Nafasi
  20. maigajr

    JamiiForums Tanzania *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Back
Top Bottom