iphone

  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

    Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke. October tunatiki kumuunga mkono mama...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania App za kudownloadia youtube kwene Iphone

    Wakuu wa iphone
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Iphone ni wana shida fulani ya akili

    Watumiaji wa iphone wana kautindio flani hivi nimeona kwa watu kumi na hii ndiyo researvh finding yangu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Habari wakuu Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/= Naombeni ushauri wenu wakuuu. Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa...
  6. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Iphone Xs mtumba kama mpya ya Dubai Gb64 inauzwa,haina kipengele chochote

    Imetumika kwa mwezi mmoja tu,imenyooka.Njoo na 350K tu.piga au WhatsApp namba 0769618684
  8. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  9. Hot27

    JamiiForums Tanzania iPhone X plain GB 64 inauzwa 270k

    Iphone X Storage 64Gb Clean No True Tune✅ No Face Id 🔋BH 100% 💰Bei 270,000/= KARIBU
  10. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 plain

    Iphone 7plain Storage 32Gb Clean Double line Bei 165,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  11. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 plain

    Iphone 7plain Storage 32Gb Clean Bei 165,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania iPhone 17 pro max zinapatikana Makumbusho kwa Tsh 290,000 tu

    Karibuni kwa mahitaji ya iPhone 17 Pro max. Tupo Makumbusho, Nigeria Street, house #12 Bei NI Tsh 290,000 **Mzigo bado wa moto sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa watumiaji wa iPhone

    Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia? Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download bila kununua. Naomba msaada
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 11 pro max 256gb offer price 650,000/=

    Battery health 85% na face id ipo 0684223374
  16. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale IPHONE 11 PRO MAX 256GB - 700,000/=

    Ni ya kurekebisha kioo tu, Ina face Id pia Battery health 85% Nakupa na box lake na chaja 0684223374
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania This is where the beef between Iphone & Android started

    Tuelezane watu wazima hapa nani ni mkorofi kwenye biashara ya mwenzake. Iphone Vs. Android
  18. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone 11 Boxed

    Boxed iPhone 11 Plain 64GB ni 650,000/- 128GB ni 710,000/- Offer Price🤝 Fixed Price🤝 CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 MASASI NA Likoma
  19. W

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X for sale

    Ina GB 64 Haina TT Haina Face Id Battery healthy 80% Mbezi magufuli
  20. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Back
Top Bottom