Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 302
- 647
Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa viwango vya sasa vya ubadilishaji.
Simu hizo zimekuja na chip mpya ya A20 Pro, iliyotengenezwa kwa teknolojia ya 2nm, pamoja na maboresho makubwa kwenye utendaji, AI na mfumo wa kupooza simu. Apple pia imeongeza kamera kuu ya 48MP yenye variable aperture.
Apple pia imetangaza maboresho kwenye betri, utendaji na processor, huku ikidai kuwa iPhone 18 Pro imepewa CPU yenye kasi kubwa zaidi katika simu janja.
Je, kwa bei ya kuanzia TSh milioni 3.18, unaona iPhone 18 Pro inastahili?