internet

  1. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  4. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Ni mustakabali wa internet na mitandando ya kijamii kama wenye mamlaka wanaweza kuizuia na kuruhusu tuone au kusikia wanachokitaka? Case China/Korea

    Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo: 1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia Kutengwa na Dunia...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

    Hahahaaa. Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko? Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa. Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣. =============== Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  8. D

    JamiiForums Tanzania YAS Postpaid bundle

    Naunganisha YAS POSTPAID BUNDLE kwa uharaka sana Hakuna gharama za ziada ili upate huduma Kigezo kikubwa ni Pesa ya kifurushi chako. UNLIMITED YA 100,000 hii tunakuunga hata kwenye simu yako ya mkononi Wasiliana nami whatssap +255 765 991551
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CIPESA Joins Six Civil Society Organisations in Landmark Case Challenging Internet Shutdowns in Kenya

    Mashirika Saba Yafungua Kesi Mahakamani Kupinga Kukatizwa kwa Intaneti Nchini Kenya Katika hatua kubwa ya kulinda haki za kidijitali na uhuru wa kikatiba, Shirika la CIPESA (Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa) kwa kushirikiana na mashirika sita mengine...
  10. fundi msati

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa internet Mbezi Stend

    Habari Wana JF, Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi. Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea mkoani nikiwa na kisimu changu mwenyewe maisha yanaenda nilipofika Mbezi nilikuwa nimechelewa sana...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  13. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU IOT (INTERNET YA VITU) INTERNET OF THINGS.

    IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
  14. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Airtel Africa teams up with SpaceX to expand Starlink internet in underserved regions

    The rollout will cover Nigeria, Kenya, Malawi, Madagascar, Zambia, Rwanda, Niger, Chad, and the Democratic Republic of Congo, all markets where Airtel is already active Wakuu Hii deal leo Airtel Africa ame sign na Spacex Lakini Airtel Tanzania naona haiko Included? Je ili Kuambiwa kuwa Spacex...
  15. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment

    Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment In response to growing demand for reliable and affordable internet services across the country, Starlink Tanzania Ltd., a proud local company, is making a bold move into the telecommunications...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji unlimited internet

    Nawasalimia kwajina la jamhuri Naomba kuuliza ivi sipati W-Fi ambayo ni unlimited kwa wastani wakama 30,000 kwa mwezi..? kama ipo bas naomba msaada wa namna yakuipata maana hizi za 70,000 kwamwezi siziwezi hata ikiwa ni 50,000 kwamwezi sio mbaya
  18. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Janja janja ya huduma za internet

    Kelele zimepigwa sana kuhusiana na huduma ya internet nchini lakini hakuna lolote acha tupige na sisi Bei juu za huduma ya internet. Ukizoea line fulani kwa muda kinachotokea bando la internet linaisha mapema isivyo kawaida. - Wengine ukijiunga bando la internet mtandao unapotea zikikaribia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kama una internet radio station yenye wasikilizaji 1000 au zaidi kwa siku tuwasiliane

    Nitumie link ya station yako na idadi ya wasikilizaji (average number of listeners per day) tuone uwezekano wa kuweka matangazo ya biashara. Whatsapp 0656388678 au private message.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
Back
Top Bottom