internet

  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani machawa wa Samia hawajui kama internet imerudi?

    Mpaka muda huu machawa wa mama Samuya huko Instagram nikama wamepigwa na ganzi, machawa nikama hawajui watokeje kwenye huu mtumbwi wa kibwengo walioupanda. Pongezi hawatoi Wala salamu kwa mashabiki hawatoi Ndugu zangu machawa internet imewashwa , na sisi tunasubiri kuona mnakujaje tuwapokee...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulitumiaje muda wako kwenye lockdown ya uchaguzi na Internet kuzimwa?

    Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025 Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo. Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano nimecheza karata Niliipikia familia yangu siku ya jumamosi chakula cha usiku, hadi wife na housegirl...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia, umeshinda Urais washa internet sasa!

    HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kosa la 1 lilikuwa kuzima Internet, kosa la 2 ni kufungia watu wasitoke. Hayo ma-2 yanaleta "UNREST" kwa nature ya binadamu na inafanya damu zichemke

    Mimi mwenyewe jana sikujua kama nitatoka, ila nilitoka. Hiyo ni baada ya kuzima internet ambayo ilikuwa inanisaidia kufuatilia mambo live online. Watu wakikosa taarifa ya nini kinachoendelea watafanya kila namna wafike eneo la tukio wakajionee live. Hiyo ndo inafanya watu waunge tela la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kurudisha huduma za Internet

    tulipata tabu sana kupata taarifa. RIP waliopoteza maisha katika maandamano ya amani
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tumejiandaaje kuishi bila mtandao (internet)🛜 kuanzia kesho hadi tarehe 3 November, 2025

    Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shut

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za Afrika. Hii siyo net tu kukatika, ni maamuzi ya makusudi kudhibiti taarifa au kukata mtiririko wa...
  8. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania I need to participate in youth meetings through internet

    As the heading states, my intention is to ask anyone who can help to access any of the way that I can participate in youth general meetings and debates through the internet with the intetion of growing my scope of knowlege and obtain new skills from different people across the world. Help me...
  9. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Innovation: Home internet (Fiber) + TV

    Habari wakuu, Ninawazo hapa mahususi kwa sisi wa developing countries. Wazo hili halitokani na Zuku Fiber + TV Device ambayo itakuwa inaweza kupokea signal za internet+tv through Fiber (SFP Slot) or internet only through WAN Port (RJ45) kisha itaweza kutoa LAN through RJ45 pamoja na kutoa...
  10. mngamala

    JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Internet

    Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Polepole tusemee na bei internet (bundle), tunapigwa?

    1. Bei ya bundle ni kubwa kuliko Cuba? Maana wanyonge tunateseka kimya kimya hakuna pa kusemea. wengine biashara zetu bila internet tutakufa njaa. 2. Internet ni huduma si biashara Born town mtandao ikiwa wanatufanyia michezo tujue.
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

    Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  14. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Ijue Teknolojia ya Internet of Things (IoT)

    IoT ni nini? Internet of Things (IoT) ni teknolojia inayounganisha vifaa mbalimbali kwenye mtandao ili viweze kuwasiliana, kubadilishana taarifa, na kufanya kazi bila uangalizi wa moja kwa moja wa binadamu. Hii inahusu sio tu simu na kompyuta, bali pia friji, magari, mashine za viwandani...
  15. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania TTCL Internet Router

    Aisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
  16. Akotia

    JamiiForums Tanzania Any internet provider maeneo ya changanyikeni?

    Habari wakuu Sasa hivi kuna kampuni nyingi za fiber connection ambazo maeneo kama mwananyamala zipo. Mfano TTCL(wanazingua kukufungia),Savanna fiber and airtel fiber.. jsasa nimehamia maeneo ya survey hapa na watoa huduma wa hapa wote hawapo.. je kuna watoa huduma gani maeneo ya hapa?
  17. excel

    JamiiForums Tanzania No internet Connection, Kwanini wakati Data ipo active?

    Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki. Shida ni nini salio la kifurushi
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Anayekata internet anatumia akili gani?

    Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch. Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa...
  19. M2flan

    JamiiForums Tanzania Watoa huduma za Internet, wanaona kile tunaperuzi ?

    Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea bila kufaham contents zipi ulifatilia?
  20. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Internet ya Voda kama iko slow sana kwa hizi siku mbili tatu

    Vipi wananzengo… Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
Back
Top Bottom