internet

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtandao kusuasua siku mbili hizi ni njama ya kuzuia kampeni ya Tone Tone kuichangia CHADEMA?

    Salaam Wakuu, Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki. Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  4. Barantogwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au na nyie mnaliona hivyo: Internet ya Vodacom inasumbua sana

    Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet. Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata. Najiuliza hili tatizo ni kwangu tu au na Kwa wengine mnaotumia voda mna changamoto hiyo?
  6. Bueno

    JamiiForums Tanzania Airtel huduma ya INTERNET imepatwa na nini? Mboni hali hii haikua hivi imekuaje?

    Wakuu. Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa Internet, nataka kuwauliza wahusika kimetokea nini? Mtandao wa Airtel umekua mziiiiiiiiiito...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Super Internet yenye kasi zaidi Tanzania

    Choose Vodacom as your dedicated internet partner and get speeds of up to 1 GB per second and a cost-effective data plan to suit your internet needs. Benefits -24/7 internet connection -Best-available technologies for city and remote -Speeds of up to 1 GB per second -Data plan to suit your...
  8. namimi07

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na matapeli wanaotoa Internet Kitonga

    Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa 6000/= _5gb 10,000/=_10gb 20,000/= _20gb yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara. Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Airtel hakuna internet wala simu hazisikiki

    Napata hili tatizo leo, naomba wahusika mrekebishe haraka
  12. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza bando za internet za Halotel kwa bei rafiki

    Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini ila Airtel ndio Mtandao wenye kasi zaidi ya Internet kwa sasa kupita mitandao yote

    Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback. Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel. Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Pocket WiFi 4G – Internet Yenye Kasi na Portable Popote Ulipo

    Habari njema kwa wote! 🎉 Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥 👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu! 👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa mwezi mmoja. BEI ZA VIFURUSHI 💻 Sh. 10,000 – GB 10 💻 Sh. 20,000 – GB 20 💻 Sh. 30,000 – GB 25 💻 Sh...
  15. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je kunawezekana kuwepo wakati ujao kwenye internet?

    Je kunawezekana kuwepo kwa tomorrow kwenye kitu kinaitwa habari au later today? ? Wajuvi wa mambo mniambie
  17. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

    Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini. Vipi nyie wenzangu?
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
  20. snipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pentesting; Jinsi ya kuexploit na kuaccess Free Unlimited Internet kwenye Android na iOS kwakutumia Tunneling Apps.

    Hello Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo) N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
Back
Top Bottom