internet

  1. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yazima Internet wakati maandamano yakiendelea, (Yaani kama yaliyotokea Malawi)

    Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai uhuru na kuondoka kwa utawala wa Kiislamu, licha ya onyo kali kutoka kwa viongozi wa vyombo vya usalama...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  4. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania What's your internet speed?

  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

    Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
  8. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Internet ni Issue, mnapataje network?

    Mnapataje network nyie
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kwa siku ya kesho bila internet

    Nje ya agizo alilotoa Waziri Mkuu la kuka ndani, umejiandaaje kuvusha siku bila internet Hakuna jamii forums Hakuna Youtube Hakuna instagram Hakuna Facebook Hakuna whatsapp Hakuna X Hakuna Netflix Hakuna Tiktok Hakuna Chatgpt
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki Internet? (WHO OWNS INTERNET):

    Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it! Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off the internet ! Who Owns internet? Is it possible to have...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania D09 hakuna maandamano na internet itakuwapo

    Just believe me
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

    Tujipange haraka Sana internet inazimwa muda wowote Leo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vya kudownload kabla ya changamoto za Internet Desemba 9

    Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29. Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tangu internet izuiwe, baada ya kuruhusiwa mitandao inatupiga balaa sijui ni kwanini?

    Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza)...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Miundombinu ya Intaneti imilikiwe na serikali siyo Kampuni binafsi

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa miundombinu ya intaneti haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na kampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa serikali ni muhimu ili kuhakikisha gharama zinabaki kuwa nafuu kwa wananchi. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara D9 kama waliuwa watu hawashindwi kuharibu minara ili internet izimwe

    Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara Niseme ukweli watanzania hawadai minara wala maandamano hayahuusiani na minara ukisikiona minara imeharibiwa ujue polisi ndio wameharibu kama wameuwa watu kuharibu minara hawashindwi ili kukosekana kwa internet Hata hivyo kuharibu...
  19. O

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

    UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ? Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Internet shutdown? Yo this is poor madness on steroids

    Wana JF, lHabari za muda huu… mambo yanavyoenda sasa hivi ni straight up wild, yani pure madness. Tumeshaambiwa mara kadhaa kuwa internet inaweza kuzimwa and honestly, tujiulize… kwanini? What’s the real play here? Because hii story yote inanuka agenda za chini ya meza. Yani unaamka asubuhi...
Back
Top Bottom