internet

  1. Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  2. MSAADA: PC haisomi (haikamati) wireless internet connection

    Wasaalam wanajukwaa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
  3. The future is here? Ijue "Starlink" na "Starlink Internet Satelite"

    Starlink ni hasa? STARLINK ni mkusanyiko wa satellite za internet iliyobuniwa na kuwa chini ya mwanasayansi mashuhuli Elon Musk na timu yake ya SPACE X. Mkusanyiko huo wa satellite za internet hufanya kazi kwa kushirikiana toka satellite moja had nyingine ili kutuma mawimbi ya mtandao huku...
  4. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves)

    Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
  5. K

    Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

    Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini. Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika. Shukran.
  6. R

    Naomben kujua jinsi ya kuweka internet via ethernet

    Habar wadau Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia simu au moderm. Nawasilisha
  7. Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

    Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu. Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao...
  8. T

    Kenya tops Africa by a mile in internet penetration

    Kenya recorded the highest internet penetration rate in Africa in the year 2020. This is according to a ranking by Internet World Stats (IWS), showing that 87.2 percent of the country’s population was connected to the internet. Figures from the Communication Authority (CA) indicate that in...
  9. Natafuta Kifaa hiki cha Internet

    Nikiri kufaidika na michango yenu kwa jukwaa hili. Kuna kifaa kinaitwa Respby pi (pichani) nataka kutumia kuanzisha program ya kuaccess masomo bila internet. Naomba kujuzwa kinapatikana wapi, kinafanyaje kazi? Kama ni mradi kuna maelezo marefu. niko tayari tuandae kikao maalum kujadili...
  10. Airtel, leo kuna nini bundle zenu za internet?

    Sijui kama kuna tatizo kwenye simu yangu au kuna tatizo kwenye mtandao wa Airtel. Leo nimenunua vifurushi vya internet vya thamani 1GB lakini havikuchukua hata masaa matatu vikawa vimeisha. Nikiangalia matumizi sioni kitu ambacho nimekifanya cha kuweza kumaliza GB moja nzima ndani ya masaa...
  11. Strict Internet and information Laws is a must for Tanzania security. My case in 800 words or less

    As President Bill Clinton mocked the Chinese president Jiang Zemin for his nation’s naivety in attempting to control the internet, the great firewall of China as it was pejoratively known, the crowd joined. At the time, in 2000s, this response was sensible considering how unknown the internet...
  12. Airtel kabla hayajawakuta yakuwakuta shughulikieni hili la wizi wa vifurishi vya internet..

    Airtel Airtel Airtel . Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili. Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako. Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini...
  13. How to view xml file using Internet browser offline

    Msaada wakuu nahitaji ku view xml template na style zake nikiwa offline.
  14. Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zaidi ya Sh...
  15. A

    Msaada wa speed ya internet kwenye PC

    Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu tena zaid ya sanaaa ila baada ya michaguz yao speed hakuna kabisa
  16. M

    Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users

    Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users Relationship nowadays are turning into something else. Guys now feel their girlfriends are obligated to them all because they are in a relationship with them. See the revealing shocking conversation...
  17. C

    Tigo Internet

    Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu
  18. Ombi la kurejeshewa Internet

    Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana. Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine...
  19. Je, wajua Umoja wa Mataifa unatambua ‘internet’ kama haki ya binadamu?

    Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu. ‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…