instagram

  1. JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  2. JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  3. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

    Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote. Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80. Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora. Kila nikicomenti kwenye trending...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao upi mzuri kutangaza kwa kulipia Tanzania, kati ya Facebook na Instagram?

    Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

    Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile. Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

    Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana. Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Most Followed Female Musicians On Instagram

    Most followed female musicians on Instagram.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hii alama ya kijani kwenye Instagram akaunti yangu (video call icon) kina maana gani?

    Nahisi pengine nimedukuliwa akaunti yangu ya Instagram
  10. JamiiForums Tanzania Instagram inaweka sehemu ya kurekebisha ujumbe wa DM

    App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM. Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

    Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
  12. JamiiForums Tanzania Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  13. JamiiForums Tanzania Sehemu ya 1: Namna ya kuweka matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii (Facebook Ads na Instagram Ads) hatua kwa hatua

    Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi). Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

    Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
  16. JamiiForums Tanzania Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

    Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny , Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
  19. JamiiForums Tanzania META kuamua kama itamrejesha Trump Facebook na Instagram

    Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram. #META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
  20. JamiiForums Tanzania Kile kiandishi uchwara cha Ghana kimepigwa ban nini na Instagram?

    Ni kilichokuwa kikijiita Micky junior. Naona wajuba wamesepa naye na mitandao yake haipo hewani tena na haijulikani kafanyaje. Ikumbukwe, mara zote kalikuwa kakitumiwa na Babra kuiharibu image ya Yanga makusudi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…