Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer.
Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali namba ya simu ambaye kimsingi nilishaipoteza so kama hata kutumiwa link zingeenda kule kwenye hiyo namba ambayo sina.
Mimi nimefollow zaidi pages za wauza gadgets, magari, cryptos nimeanza zifollow mwishoni mwa mwaka jana na pages za technology na habari hasa za china na marekani.
Sasa jana nashangaa natakaa kuingia instagram kupitia pc inaniambia niweke password naweka inagoma.
Nikahamia kwa simu nako holla! Kureset password inatuma msg kwa namba siijui ikabidi nitulie kwanza.
Leo ndipo najaribu kuingia tena naona sasa kureset url inatumwa kwa email ambayo hata siijui na ina @c****** ikiwa inamaana si gmail wala yahoo wala hotmail n.k.
Ikabdi nifungue akaunti nyingine niende kuona kuna nini maana mimi akaunti yangu haikuwa na post hata moja nashangaa nakuta kuna post mbili za cryptos nikajua scammers washafanya yao.
Nimejaribu kuireport meta nione kama wataifunga walau maana isije ikaanza tangaza biashara.
Jambo ninalojiuliza yani nimekuwa hacked kwa style gani mpaka sasa sijapata jibu.