inawezekana

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu inawezekana mtu kuijiandikisha kupiga kura zaidi ya kituo kimoja na mashine ikakubali

    Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

    Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya great minds ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,simple minds nawaombeni kaeni pembeni!, hapa hatu discuss watu!。 Naomba wachangiaji...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa Trump: Inawezekana ikawa mwisho wa Fulbright programs

    Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa. Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA ambayo walimu wa Kiswahili wanapata mashavu, pia kuna HHH Fellowship ambayo inachukua wakali wa field...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuja kundi la watu wasioamini ubaguzi wa rangi(apartheid) uliwahi kutokea Africa Kusini?

    Katika kila tukio kubwa lilowahi kutokea Duniani kuna watu wengu wanaoamini conspiracies mbalimbali kuhusu hilo tukio kinyume na historia inayoaminiwa na wengi. Mfano kuna watu wanaamini mauaji ya kimbari dhidi ya wayahudi (holocaust)hayajawahi kutokea, CIA ilimuua Kennedy, dunia ni tambarare...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Niliibiwa simu, wezi wamekopa kwenye line yangu. Hii inawezekana vipi wakuu?

    Wakuu habari za January naiman wote n wazima wa afya...niende kwenye mada moja kwa moja Tarehe 25/12/2024 saa 9 Kasoro usiku wa kuamkia Boxing Day nilikabwa kwenye bajaji Tukio lilikuwa hivi Nilikuwa nimetoka mizunguko ya kuizunguka dar na washkaji ilikuwa usiku wa kuamkia tarehe 26...
  12. H

    JamiiForums Tanzania WATAALAM WA HESABU,HII INAWEZEKANA VP?

    110+100÷2=160 100+110÷2=155 msaada tutani....
  13. JamiiForums Tanzania Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

    Hello peoples.. Hebu tujisaule hapa kwa kuchanganya maarifa juu ya UTUPU kwenye ulimwengu, swali la msingi ni kuwezekana kwa hali ya utupu, namaanisha hivi mpaka sasa binadamu na teknolojia yake bado hajaweza kufikia hatua ya Kutengeneza utupu (vacuum), kwa asilimia mia!. Ataweza kutoa hewa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

    Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  16. JamiiForums Tanzania Je hii inawezekana ina ukweli?

    Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana...
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana kwenda kuokota "mali" Marekani?

    Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake. Kwamba, ni kawaida...
  18. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kuna kijana mwenzetu anaish nyumba moja na mwanamke walietengana! Hv najiuliza inawezeka hulo kwel?
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana punyeto (kujichua) ndiyo imenithiri au mimi nina matatizo?

    Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo Sasa kuna tatizo limenikuta aisee nikifanyq mapenzi huwa natumia mda mrefu saana na sikojoi kabisa yaani mpaka mpenzi wangu anachoka ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…