kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts)
Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh)
Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh
Simu nyingi huwa ni 3.7V
Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh:
(Mah * V)
1,000
(4,000 *...
Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia
Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
Habari wakuu,
Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera)
Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera...
Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani?
Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account,
Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza.
PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo.
https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4
Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah...
Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano.
Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya...
Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake.
Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa CCM ni wagombea wanaotetea nafasi zao hivyo wengi wanajimudu kikampeni so kwa kiasi kikubwa gharama...
Instagram Inaweza Kushare Mahali Ulipo na Followers Wako Wote
Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, taarifa binafsi zimekuwa bidhaa yenye thamani kubwa. Hata bila ruhusa ya wazi, programu zinaweza kutumia ruhusa za simu yako kufuatilia na kushiriki mahali ulipo. Instagram, moja ya majukwaa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo.
Nashauri artificial intelligence itumike...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu.
Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA.
Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.