Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
Pia soma > PostGE2025 - Samia to Western Countries: Who are You? They think they...
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili?
Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa?
Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu.
Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi
Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti.
Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja...
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa
Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia
Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao
Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo
Sasa mi nashindwa kuelewa...
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔
Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?
Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua...
Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa .
Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani
USSR
Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili.
Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna...
Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli.
Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO".
Shida sio kusema nimekaa kimya. Shida ni hapa kwenye umuhimu yaani we ukiwa na shida ukanikopa pesa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.
🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍
✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
2025/26
2026/27
2027/28
📌 Iwapo timu itashinda...
Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje
Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje
Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse
Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika...
Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.
kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu.
Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki.
Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi.
Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
Hello, wanaJF;
Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo.
Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.