ilikuwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ilikuwaje hadi ukapigwa mmeo/bwana wako?Wewe mwanaume kwanini ulimpiga mama watoto/mchepuko wako?

    Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo. Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena. Sasa mtu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa kwenye uhusiano na Mtu Mchoyo? Ilikuwaje?

    Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu. Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je umwwahi kutoka kimapenzi na kipofu, kisha mkafumaniwa, je hali ilikuwaje?

  6. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

    Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye? Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

  9. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  10. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Siku yako ya kuvisha/kuvishwa Pete ilikuwaje?

    Habari wanaJukwaa .. Nahitaji tupate uzoefu kutoka kwa wale waliotutangulia kwenye hili suala la Engagement. Wewe na mchumba wako ni mambo gani mlizingatia katika hiyo siku kwa kuanzia na mavazi muonekano n.k kwa kuzingatia na umuhimu wa hiyo siku husika? Ni mambo gani unahisi ulikosea...
  11. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ya siku kwanza kuingia barbershop?

    Za jioni wakuuu.................................... Anyway weekend iko poa? Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇 Niliona saloon nyingi zimefungwa sasa na nilikuwa nataka ninyoe siku hiyohiyo coz kesho ake nilikuwa na safariii...
  12. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Samson Akaua Simba?

    Hivi zamani middle east kulikuwa na simba? Ile hadithi ya Samson kutoka kwenye biblia alipomkamata simba kwa mikono akamrarua vipande natafakari wale simba walikuwapo middle east? Biblia inasema Samson alipokuwa akielekea Timna na wazazi wake kwenda kuonana na yule mwanamke wa kifilisti...
  13. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kiasi Gani Cha fedha uliwahi kuokota? Ilikuwaje?

    Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  15. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu. Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
  18. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Simba ilikuwaje wakamuuza Bwalya?

    Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo? Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee. Halafu tukiwauza/ au kuwaacha...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  20. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    WanaJF tiririkeni Love at the first sight 😍😍😍😍
Back
Top Bottom