ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

    Jamani, tuelimishane kidogo Chato ni Makazi ya Rais, sio Ikulu ndogo Ikulu ndogo ipo hapa Geita mjini na Chato ni miongoni mwa Wilaya zilizopo mkoani Geita. Ninachokijua mimi ni kuwa Rais wa Tanzania alitambua mapema yakuwa akiwa ndani ya Ikulu kubwa hizi kwa maana ya DSM na Dodoma miingiliano...
  2. R.B

    JamiiForums Tanzania Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda. Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza yafuatayo kuwa sehemu ya majibu yenu. 1. Je, Wabunge wa CHADEMA ni watoro? Kwa kadri ninavyofuatilia...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

    “Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM “Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

    Wanabodi, Janga la Corona ni vita ambayo no one knows its dimensions, hivyo Watanzania hatuna budi kutumia kila silaha, kila mbinu, kila technics, hivyo, baada ya kuisikia ile hotuba ya jana kutokea Ukulu ya Chato, mimi kwa upande wangu naiunga mkono hotuba ile ya Ikulu ys Chato kwa asilimia...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, Msemaji wa Ikulu anaruhusiwa post taarifa bila kupata kibali cha Msemaji Mkuu wa Serikali?

    Ndugu zangu naomba kupata elimu na hii ni baada ya matukio kadhaa yanayotokea nakutuchanganya kidogo. Hivi Msemaji Mkuu wa Ikulu anaweza post kitu au maudhui yanayo muhusu Rais wa nchi bila pata kibali cha Msemaji Mkuu wa Serikali? Pili Je ni sahihi kwa msemaji wa Ikulu kupost au kuweka maudhui...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Siku Wapiga Kura Walipomwambia Rais Nixon "Urais sio Ufalme na Ikulu ya Imperial Presidency kutikisika

    Rais Richard Nixon, wa Marekani, alikuwa rais wa 37 wa nchi hiyo tangu 1969 hadi 1974 alipojiuzulu. Alikuwa rais kwa tiketi ya chama cha Republic lakini akaongoza nchi kama rais mfalme. Alipindua kanuni za somo la uraia zinazowambia watoto wetu shuleni kuwa dola inayo mihimili mitatu yenye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

    Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo? Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu. Je,ni hivi hivi tu? Upendo huu umeanza lini? Hii hawezi kuwa ni damage control?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

    March 24, 2020 Radio Deutsche Welle Bonn Ujerumani Kipindi kinagaubaga Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili DW afichua kilichojiri katika mkutano wa hivi karibuni baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamkujua kwamba Ulinzi wa Magereza ni kama Ulinzi wa Ikulu? Wangetoroka wafungwa kwenye maandamano yenu nani angewajibika?

    Nashindwa kuelewa nini maana ya siasa kwamba inafikia hatua watu wazima na akili zao wanashindwa kujua mipaka ya majukumu yao. Kwanini msitambue wala kujua mambo hatari kwenye usalama wa nchi? Vyovyote mfanyavyo, msivuke msitari mwekundu, si tu mtaumizwa bali pia mtauliwa kabisa na kutoweshwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

    Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, waliokwenda Ikulu wamesaidia nini kuondoa huu unyanyasaji na kuna sababu gani ya Mbowe kwenda Ikulu iwapo nae ataalikwa?

    Leo Machi 14,2020 Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, limezuia tena kikao cha ndani kilichoandaliwa na Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, kwa kile walichodai maagizo kutoka juu. Kikao hicho mgemi rasmi alitarajiwa kuwa mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Chanzo:Official Bavicha tweet. .
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

    Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai. Sina uhakika kama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm. Source TBC
  17. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

    Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria. Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mwaliko wa vyama vya siasa Kwenda Ikulu ulikuwa ni mkakati wa kuwagawa wapinzani hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura. ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haikupokea mwaliko wa kwenda Ikulu kuzungumza na Rais Magufuli

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amezungumzia kuitwa Ikulu kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini na uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfuta uanachama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Jumanne...
  20. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
Back
Top Bottom