ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magufuli hata akifia Ikulu hakuna kitu atafanikisha, kwani akina Mubarak au Mugabe walifanikiwa nini?

    Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote. SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha. Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi Ikulu ndogo zilizopo kila mkoa kazi yake ni nini?

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mweshimiwa kujichimbia Wilayani Chato Kwa muda sasa, maneno ni mengi, wengine wanadai kakimbia Corona wengine wanadai mzee kaenda kupumzika home kwao baada ya purukushani za kampeni n.k.. Naamini kila mkoa kuna Ikulu ndogo, sijajua kama...
  3. JamiiForums Tanzania Emmanuel Buhohela: Hatuna taarifa rasmi kuwa Uingereza ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo

    Mkurugenzi wa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje, Emmanuel Buhohela, amesema wao hawana taarifa rasmi kwamba Uingereza imepiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo na kueleza kuwa hayo ni mambo ya mitandaoni na wao hawayafuatilii. Chanzo cha Taarifa: EastAfricaTV...
  4. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; kuna anaetarajiwa kuingia ikulu na mzee!

  5. JamiiForums Tanzania Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

    Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated. Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Magogoni ibadilishwe matumizi isiwe maskani ya popo

    Wanabodi tahadhima kwenu! Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo. Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama mikoa mingine, si tena maskani ya Rais kama Chamwino. Badala ya Ikulu ya Magogoni kubaki ukiwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Vinchenzo Mazza: Toka kijijini hadi Ikulu

    Baba alilipuka kwa hasira wakati kijana wake mwenye umri wa miaka 16 Vinchenzo Mazza aliporejea nyumbani kwao katika kisiwa cha Sicilia na kutangaza kuwa ameshabatizwa na kujiunga na kanisa la Waadventista wa Sabato. Hasira za Baba zilizidi pale kijana huyo alipotamka mpango wake wa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Unahisi Trump alikuwa anang'ang'ania nini Ikulu?

    Hii ilikuwa 16 Novemba 2016 baada ya kushinda uchaguzi Rais mteule Donald Trump amesema hatapokea mshahara wa rais wa $400,000 (£319,500) kila mwaka Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake...
  9. JamiiForums Tanzania Congress in turmoil as protesters storm US Capitol Building

    Wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana Washington Dc wakizingira Bunge lililopo Capitol Hill Hatua hiyo imekuja mara baada ya bunge kumuidhinisha Joe Biden kama Rais ajaye wa #Marekani Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwataka waandamanaji wasifanye vurugu === As Congress...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya walioripoti makazini Halmashauri ya Mbinga wahenyeshwa

    Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao. Mpaka sasa hawajapewa fedha yao ya kujikimu na wameendelea kusumbuliwa bila kujua hatma yao. Wenzao wa wilaya ya mbinga...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

    Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe. Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee) Makonda...
  13. JamiiForums Tanzania Zito Kabwe ndani ya Ikulu !

  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  15. JamiiForums Tanzania TFF huu ubingwa ufike Ikulu

    Nimeshangaa kumbe timu yetu ya wanawake under 17 wamechukua ubingwa wa COSAFA na hii habari Haina hata buzz yoyote..why? Wasouth Africa wanaipamba Sana timu Yao ya wakubwa imechukua ubingwa. Women COSAFA cup. Hii ya under 17 habari wanaifunika funika. Na Sisi wenyewe hata vyombo vyetu vya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa 'Upuuzi' wa 'Kisiasa' na 'Kiutawala' wa Donald Trump ningewadharau kuliko 'Wamarekani' kama 'wangemrudisha' tena Ikulu ( WH )

    Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe? 1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa 2. Aliifanya Ikulu ( WH ) kama ni Ofisi yake binafsi na Wanafamilia wake 3. Aliionyesha wazi wazi Chuki yake...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani penetration...

    Hello wanajamvi, Tuko hapa tena tukiongelea uchaguzi. Kama ambavyo tutakua tunajadili uchaguzi 2025. Nothing is going to change, CCM itaendelea kuongoza tena na tena I just think we need us makamanda to have a big debate on how to fight this Enemy... (which is a focus of this thread) Kwangu...
  19. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

    Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
  20. JamiiForums Tanzania Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi

    HATA RAIS HUDANGANYWA; NJAMA ZA IKULU. Na, Robert Heriel Soma mpaka utakapoamua kuishia, masuala ya kuambiana andiko refu hayo achana nayo, nimeandika refu kwa sababu wapo wanaopenda maandiko marefu, wewe unayependa andiko fupi soma utakapoishia. IKULU ni maskani yaliyorasmi anayoishi Rais na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…