Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.

Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."

Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.

Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
 
Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na seleman jaffo kuwepo sasa njia ya chamwino 2025 ni nyeupee
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda....
We need 1. Paramagamba Kabudi, au 2.Mwigulu Nchemba. Hao wengine Wote wanauwezo ila kuangalia Mwenye uwezo wa kuhakikisha nchini Kwetu haturuhusu Sera za kutetea ushoga kwa karipio kali. Na namba 3. Jasusi Mbobezi asingekuwa na kiherehere alikuwa anafaa kidogo maana tunaowahitaji ni Wale wenye akili za kutoendeshwa na hisia za Watoto na Wajukuu wa Wakoloni.

4. Paulo Makonda @Bashiteee - ndiyo ngao zetu Ukimuona Mtu Wazungu wanamchukia Jua huyo ndo anafaa saana. Wazungu wanapenda watu wanaowakandamiza waafrika ila Wanawatukuza wao. We tired on that stupidity 🦾🦾🦾🦾
 
"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."

Hahah wkt Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.

Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama?NEVER.
Wewe Magu huyu siyo wa kuamini. Juzi kasema ana reserve kwenye wabunge wa majimbo. Ila cha ajabu ili kupata naibu wazi imebidi ateue mbunge.
 
We need 1. Paramagamba Kabudi, au 2.Mwigulu Nchemba. Hao wengine Wote wanauwezo ila kuangalia Mwenye uwezo wa kuhakikisha nchini Kwetu haturuhusu Sera za kutetea ushoga kwa karipio kali...

niliposoma comment yako na nikalinganisha vigezo vya wenzetu katika kupata rais, Nikakumbuka ule msemo

"We are POOR because We are POOR "
 
Wewe Magu huyu siyo wa kuamini. Juzi kasema ana reserve kwenye wabunge wa majimbo. Ila cha ajabu ili kupata naibu wazi imebidi ateue mbunge.
Kwa hio umeshawahi kumuona Magu akitoa kipaumbele kwny hayo mambo ya Gender kwny utawala wake sio?

Baraza lake la Mawaziri lenyewe wanawake ni 4 tu,ndio leo nafasi kama ya urais awafikirie wanawake?Haipo hio.
 
We need 1. Paramagamba Kabudi, au 2.Mwigulu Nchemba. Hao wengine Wote wanauwezo ila kuangalia Mwenye uwezo wa kuhakikisha nchini Kwetu haturuhusu Sera za kutetea ushoga kwa karipio kali. Na namba 3...
Nakuona Think Tank wa CCM.
 
Hii post yako inaweza mfanya Jafo atengenezewe scandal na system ili aondolewe kwenye uwaziri na kufutwa kwenye uso wa siasa za Tanzania kama wengine.

Sijui hamjagundua kuwa Magufuli hataki mtu yoyote apate umaarufu kisiasa zaidi yake. Maana yake anampango wa kuendelea kuongoza zaidi ya miaka hata 20.

Kama unabisha save hii post yangu kabla ya 2022 kuisha ukiona katiba inabadilishwa na kuongezewa muda njoo usome tena nilichoandika hapa na ndyo utaelewa.
 
Hii post yako inaweza mfanya Jafo atengenezewe scandal na system ili aondolewe kwenye uwaziri na kufutwa kwenye uso wa siasa za Tanzania kama wengine.

Sijui hamjagundua kuwa Meko hataki mtu yoyote apate umaarufu kisiasa zaidi yake. Maana yake anampango wa kuendelea kuongoza zaidi ya miaka hata 20.

Kama unabisha save hii post yangu kabla ya 2022 kuisha ukiona katiba inabadilishwa na kuongezewa muda njoo usome tena nilichoandika hapa na ndyo utaelewa.

True anaestahili kuabudiwa ni mmoja tu pekee
 
1607690731502.png
 
Back
Top Bottom