ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  2. Erick Kalemela

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

    Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani. Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi yamkamata mkosoaji mwingine wa Ikulu

    Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na kifungo jela. Taarifa za kukamatwa kwa Gudkov zimethibitishwa na baba yake mzazi aliyesema kuwa alikamatwa baada ya msako wa polisi kwa madai ya kutolipa kodi ya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

    Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake. Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar. "Nimefurahi kwa uwepo wako hapa Zanzibar na tutashirikiana katika kuendeleza soka la watoto"
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais Samia ndani ya siku 69 za uongozi wake

    HUYU NDIYE RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 69 ZA UONGOZI WAKE. Na Elius Ndabila (MHITIMU LLB-MZUMBE) Mara nyingi duniani kote kiongozi wa nchi huanza kupimwa utumishi wake kwa kipindindi Cha siku mia moja. Lakini si sheria wala kanuni ni utaratibu tu ambao watu wanadhani unaweza kusaidia kujua uwezo...
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia

    Rais wa Kenya Mhesh Uhuru Kenyatta leo Mei 26, 2021 katika Ikulu ya Nairobi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia Mwana Mfalme Faisal Bin Farhan AlSaud Viongozi hao walijadili na kukubaliana kuongeza ushirikiano wa nchi zao kwenye maeneo ya Ulinzi na...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu. Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
  11. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

    Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu? Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali? daah noma kweli
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

    Rais Samia anawaapisha majaji wateule Ikulu, jijini Dar es salaam. Tukio liko mubashara TBC na Channel ten. Updates: RAIS SAMIA AWATAKA MAJAJI KUONGOZWA NA UTU Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Majaji walioapishwa leo Ikulu Dar es Salaam kuongozwa na Utu, Imani na Nafsi zao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

    Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu. Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa. Ngoja niwaimbie wimbo. Wanameremeta,wanameremeta, wanameremeta...
  17. J

    JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali. Kazi Iendelee!
  18. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Oparesheni Magogoni na Oparesheni Floodtide ilivyowarudisha Ikulu Nyerere na Kawawa

    Na, H. J. Mahenga, alias, Uncle Kaso Usiku wa kuamkia tarehe 20 ya Januari ya mwaka 1964, yalitokea mauaji ya Mwarabu mmoja pale Magomeni aliyekuwa na duka, aliyepigwa risasi na wanaodaiwa 'waasi' wa JWT, kipindi hicho likijulikana kama Tanganyika Rifles, au kwa kifupi TR. Mwanya uleule...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Back
Top Bottom