igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi. Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded IGP Wambura, kuna Askari wako Mpanda wamevamia Wananchi mtaani na kuwachapa kwa waya bila maelezo

    Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024. Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura afanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar. Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri! Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake. Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  6. T

    JamiiForums Tanzania KERO IGP tuondolee Askari wa Usalama Barabarani Tabata, wamekua kero na kusababisha Foleni kwa faida yao.

    Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam. Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu wanawahi kwenda kwenye shughuli zao za kiuchumi na pia inajulikana setup ya barabara zetu asubuhi...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania IGP hili la kifo Bariadi wahusika wawajibike, tukatae vifo vya kufia polisi

    Kufuatia kifo cha Limbu Kazilo (41), Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, familia yake imegoma kuuzika mwili wa ndugu yao huyo wakidai kuna mazingira ya utata kwenye kifo chake na hivyo wanataka kujua chanzo. Mama mzazi wa marehemu, Nyahoga Nandi amesema mwanaye...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura awataka Watendaji wa Dawati kutanua wigo wa mashirikiano

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchin IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kuendelea kutanua wigo wa mashirikiano na wadau mbalimbali katika kukomesha na kudhibiti wimbi la vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia vinavyojitokeza kwenye jamii. IGP Wambura...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
  11. dubu

    JamiiForums Tanzania IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura alivyofanya mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda mnanimaliza, hata IGP Wambura hawawezi

    Hii nimeona leo mitaa ya Bunju! Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa. Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura na PT yake wamelishindwa Pori Hatari kwa Uhalifu Tanganyika Packers Kawe!

    Kila Siku za Ibada hapo za Jumapili, Jumatatu, Jumanne na zile za Matamasha Watu / Waumini huibiwa Simu au Pochi kwa Kuporwa huku Wakijeruhiwa na Vibaka Maarufu ambao baadhi yao Mchana huwa ni Madereva Bodaboda katika Ukanda huo. GENTAMYCINE niliwahi Kumtaarifu hili ( hapa hapa JamiiForums )...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

    IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
  16. D

    JamiiForums Tanzania IGP Kamilius Wambura fanya maamuzi magumu, jiuzulu

    Ninajua si utamaduni wetu mtu kujihisi hatia na kuamua kujiuzulu. Dhana ya kujiuzulu kwa Tanzania bado inaonekana kama udhaifu. Kwamba hata kama unanuka basi unakomaa tu. Unafia kitini. Lakini kwa IGP Wambura ni muda muafaka kabisa wa kujiuzulu wadhifa huo ili ubaki kuwa mtu safi. Inakuwaje...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

    Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna uchunguzi uliofanyika hadi sasa . Amedai kwamba hapo awali , alidhani haukufanyika uchunguzi kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania IGP mshawishi Rais Samia akuruhusu utumie japo 50% ya bilioni 125 kuboresha makazi ya Askari NCHINI. Uchaguzi ni tendo la siku moja

    IGP upo katika kipindi ambacho serikali inakuhitaji kuliko wakati wowote. Watangulizi wako pamoja na wewe mmekuwa mkiomba bajeti ya kuboresha makazi ya askari bila mafanikio kwa miaka mingi. Lakini kila inapofika kipindi cha uchaguzi watu wale wale wasiokuwa na fedha ya kukusaidia kuboresha...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

    Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya...
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
Back
Top Bottom