igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  4. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  5. kagoshima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

    Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania IGP anapaswa kujitathmini. Utekaji wa raia umezidi.

    Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo. Familia yake ikasema Polisi imewazuia...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ACT Wazelendo yawataka IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani kujiuzulu kutokana na vitendo vya Utekaji na mauji ya raia wasio na hatia

    "Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi ya 150 ya aina hii yamerekodiwa huku wengi wa wahanga (waathirika) wakiwa ni wanaharakati na...
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024

    Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria. Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Polisi Tatu Rashid Jumbe anaweza kujaa kuwa IGP mzuri siku za usoni

    Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo. Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Je, nafasi ya Suzan Kaganda kuchukuliwa na Deborah Magiligimba? Inawezekana IGP ajaye akawa ni Dkt. Magiligimba

    Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

    Salaam Wakuu, Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei. Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS

    Wapendwa wanangu, Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha. Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi Wapendwa, Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawafyatua...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

    Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania IGP: Ajali ya Shabiby Tunduma trafic aliyewahi kupiga faini bus lolote la Shabiby kuanzia Sep 2024 hadi sasa awasiliane nami

    IGP: Ajali ya Shabiby Tunduma - Ajali ya Shabiby: Inahusisha mabasi ya kampuni ya Shabiby ambayo yanatumika katika safari za Tunduma. - Faini za Trafiki: Taarifa inasema kuwa hakuna madereva wa mabasi ya Shabiby ambao wamepiga faini kuanzia Septemba 2024. - Wasiliana NAMI: Ni wito kwa watu...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  18. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kuwalinda Waziri Masauni na IGP Wambura Kunavyo Weza Chafua Nchi.

    Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu wawajibishwe. Yaani Waziri yule Mzanzibari Masauni na mkuu wa Polisi IGP Wambura. Katika uwajibikaji, hata wao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Back
Top Bottom