Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini
Rais Samia akajibu “Hilo...
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli.
Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000.
Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
Habar wadau
Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na wanadai speed haishuki na wala internet haikatiki ilabei yake sasa weeeh laki 5 per mouth not fair...
Kwa wale tuliowahi kufika kariakoo kufunga mizigo ama kununua reja reja ama kutalii tumeshajionea jinsi wakinga walivyoikamata kariakoo, Kariakoo ndio soko kuu hapa Tanzania na wafanyabiashara wa nchi nyingine kama Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, n.k hufunga mzigo kariakoo...
Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na miradi iliyoko. Sasa hakuna elimu ya bure kwa ukweli ndiyo maana kuna tozo. Elimu ya juu hii mikopo...
Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.
Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93?
Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza?
Kama alikuwa anajua hiyo...
Nina swali dogo hili.
Hivi mfumo wa serikali unatambua uwepo wa tarafa?
Nahitaji kupata orodha ya tarafa zote nchini, wapi naweza kupata link au document hiyo?
Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC.
Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA.
Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla.
Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa.
Natoa...
Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini?
Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka.
Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na...
''Penye miti mingi, hapana wanjenzi''
Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi.
Tukiongelea suala la miti...
Habari wananchi na viongozi!
Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu.
Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani.
Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.