MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC.
Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa Wasiojua FC (Yanga SC)
Kwa jinsi ulivyonifurahisha Kocha Kim Paulsen sasa ninarejea tena rasmi Kuishabikia Taifa Stars na hakikisha hata katika Mechi zote Mbili dhidi ya Uganda au na Taifa lingine unawapanga Wachezaji wote hawa 9 wa Simba SC na Yanga SC mpange Mmoja tu au ikiwezekana Usimpange kabisa bali wapange wa Azam FC au Geita Gold FC au Namungo FC.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Taifa Stars
Mungu ibariki Simba SC
Mungu mbariki sana MINOCYCLINE