idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  2. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  3. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

    Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

    Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme ndugu Maharage Chande amesema kuwa watanzania tutaendelea...
  6. sammosses

    JamiiForums Tanzania Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wawekezaji nchi yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Idadi ya 'single parents' itaongezeka zaidi

    Kwa mtazamo wangu, ninaona miaka 10 ijayo idadi ya single parents itaongezeka mara dufu ukilinganisha na kipindi kilichopita kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma. Kwa miaka hiyo, wanandoa walikuwa wanapatana kuishi pamoja hasa baada ya kupendana. Dhana kuu ya umoja wa ndoa ilikuwa ni kuishi bila...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

    Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Working hours na idadi ya kuhudumia wagonjwa kwa siku ipunguzwe

    Hawa watu wa kada za afya wanafanya kazi muda mrefu mno 24/7 na wanahudumia wagonjwa wengi sana ndio maana wanachoka sana mwisho wa siku huduma inakuwa chini ya kiwango Hivyo serikali wawapunguzie idadi ya kuhudumia wagonjwa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa wasiozidi 20 kwa siku then asign out...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  14. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Quran na idadi ya watu ulimwenguni

    Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume " بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza kwa idadi ya Nyati Afrika

    Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili. Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu Tanzania inavutia maoni ya Serikali ya majimbo

    Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara. Takwimu hizi zinaonyesha namna muundo wa serikali yetu unavyotakiwa kubadilika kuwa wa kimajimbo ili...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona sababu za msingi kwanini Serikali haitaki kutoa takwimu za idadi ya wafuasi wa dini

    Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mbwa mtu imeongezeka sana nchini, nini kifanyike?

    Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa? Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
Back
Top Bottom