Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.
Serikali ya Burkina Faso imesema imefanikiwa kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Ibrahim Traoré, ikimtuhumu aliyekuwa rais wa mpito, Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, kuwa mpangaji mkuu wa njama hiyo.
Waziri wa Usalama, Mahamadou Sana, amesema mpango huo ulihusisha mauaji ya...
Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . ..
Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
Wakuu
====
Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao...
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Hatuwezi kuendelea tena kudanganywa na kupumbazwa na watawala waliovimbiwa utajiri wa Nchi hii.
Mwaka huu tunahitaji Rais kama alivyo Ibrahim Traore. Inakuwaje kijana mdogo tu Ibrahim Traore ndani ya muda mfupi amefanya Maendeleo makubwa kabisa katika Nchi yake lakini sisi watu wazima bado...
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na...
https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX
Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana..
Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu..
Lakini...
Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame
Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa .
Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi...
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa...
Wakuu,
Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.
Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine...
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.
Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.
Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.
Huamini...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na Hawa ;
Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana...
Captain Ibrahim Traoré rais wa Burkina Faso ameiweka nchi yake kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kote. Umaarufu na uungwaji mkono wa Mwanamapinduzi huyu umeenea sio tu Ouagadougou na ndani ya mipaka ya Burkina Faso, bali Afrika yote. Ni jambo lililo wazi kuwa captain amekuwa ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.