Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.
Ndugu zangu Watanzania,
Kumbe Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore tabia ya kufanya mbwembwe za kuweka Silaha Kiunoni ikiwa nje nje pamoja na kusalimia watu na viongozi mbalimbali kwa kuwapa Tano anafanyia huku huku Afrika tu na siyo nje ya mipaka ya Afrika.
Kwa hakika huyu kijana inatakiwa...
Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika.
Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo.
Nchi ya Tanzania ni tajiri ila watu ni maskini alafu tunasema mitano tena.
Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.
Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
Mei 2025, vikosi maalum vya Urusi kutoka kwa jeshi la serikali la Afrika vilitumwa Burkina Faso kumlinda Rais Ibrahim Traoré, kufuatia majaribio ya hivi karibuni ya mapinduzi na ukosoaji mkubwa wa Magharibi.
Kikosi cha Afrika, kinachofanya kazi nchini Mali, Niger, na Burkina Faso, kinaonyesha...
Economic Hitmans: tunapaswa kufahamu ni watu wanaolipwa Fedha nyingi sana ili kushawishi Nchi maskini Kukubali miradi inayoleta maendeleo machoni kwa watu lakini Kudumiza maendeleo ya Nchi Nzima... zaidi hufanywa katika nchi za Africa, Je mashirika Hayo, yataitaji Serekali itayoweza kupinga njia...
Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na...
Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
Amerika ilimuua MUAMMAR GADDAFI na kuiharibu LIBYA ambayo sasa haijulikani tena namna ya kupona. Sasa, wanataka kumfuata nahodha wetu, IBRAHIM TRAORE JULIUS MALEMA
Kama jambo lolote likimtokea IBRAHIM TRAORE basi ni kwa sababu sisi vijana wa Afrika tumemwangusha* kwa kushindwa kuchukua hatua...
Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?
https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc
Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa.
Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida...
Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano...
Ndugu zangu Watanzania,
Mgombea wetu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi. Ameendelea kuchanja Mbuga na kupata mapokezi makubwa na heshima maeneo mbalimbali ya Bara la Afrika katika kusaka kura za ushindi wa kishindo na heshima katika uchaguzi...
Niaje wakuu
Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani?
1. Nchi?
2. Wananchi
3. Au yeye na genge lake?
Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa
Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu akisimama hata sio mwanasiasa mpaka watumishi wa umma anasimama kwa kumshukuru mama.
Hii ni hatari...
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.
Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo Jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi...
Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo.
Maoni ya mdau:
Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata
Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mungu ambariki huyu KIJANA !!!
Earthmover Kasumbalesa
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.
Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.
Namtabiria Makubwa sana John Heche
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.