The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame
Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa .
Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi ubelgi kasema anaikomesha.
Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa .
Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi ubelgi kasema anaikomesha.