ibrahim traore

Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

    Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara Mungu ambariki huyu KIJANA !!! Earthmover Kasumbalesa
  2. Bramo

    JamiiForums Tanzania John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

    Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré. Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi. Namtabiria Makubwa sana John Heche
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor

    Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

    Habari zenu Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi 1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola bilioni 18.8 hadi $ 22.1 bilioni. 2. Alikataa mikopo kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini. Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya...
  6. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

    Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
  8. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

    Ujinga ni bahari kubwa na tunaendelea kuogelea bila boya
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso

    Rais wa Burkina Faso ameanza kazi vizuri na wengi wanampenda ameifanya Bara la Afrika kuwa sehemu ya Kivutio: SOMA HAPA 👇🏻 1.Mosi ,Amefukuz Majeshi ya Ufaransa Nchini Burkinafaso akidai Burkinafaso Ni Nchi Huru (Sovereign State) isiyohitaji Uwepo Wa Majeshi ya Mataifa ya Magharibi katika...
  10. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Kichekesho UVCCM na vijana kama hao kum-admire Captain Ibrahim Traore

    Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali mnatudhulumu kumbukizi, nataka kumwona Ibrahim Traore Rais wa Bukina Faso

    Huyu mwamba wa Afrika Captain Ibrahim Traore, ni mtu nilitaka kumwona machoni akiwa Dar. Huyu Rais Traore ni nyota ya mwafrika, na kila mwafrika mwenye kujielewa angependa kumtia machoni. Serikali ingetutengenezea wananchi, hata mahali tunaweza kumwona mwamba huyu. Alipokuja Mandela serikali...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongoz wa CCM wanamkubali Ibrahim Traore?

    Je, viongozi wa chama tawala wanakubaliana na Ibrahim Traore kama Rais Wa Burkina Faso?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  16. sergio 5

    JamiiForums Tanzania IBRAHIM TRAORE TRUE MEANING YA KWAMBA NINA WATU

    In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
  17. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

    1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion. 2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need the World Bank, IMF, Europe, or America." 3. He reduced the salaries of ministers and...
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni. Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu. Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama. Katika sherehe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron adai viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaoiwakilisha nchi hiyo katika nchi mbalimbali. Macron alisema kwamba mfano viongozi wa nchi za...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Raia nchini Burkina Faso waamua kulala barabarani nyakati za usiku ili kumlinda Rais Ibrahim Traore

    Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi. Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa...
Back
Top Bottom