Unaishi Tanzania, aidha mijini au vijijini. Huenda ni mwanachuo, unaenda chuo Jumatatu hadi Ijumaa, au umeajiriwa unaenda kazini Jumatatu hadi Ijumaa au umejiajiri, unafanya kazi muda unaotaka wewe
Ikifika weekend, sikukuu au likizo huwa unafanya nini usiwe bored? Activities gani ukizifanya...