huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  2. S

    Nchi zenye "wananchi hai" jeshi huwa linaufyata

    Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia. Nchi ambazo wananchi wake wako hai (active) matumizi ya mabomu na vifaa vingine vya kijeshi huwa...
  3. Makocha huwa wanawasiliana vipi na wachezaji?

    Wakuu salaam, Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni shida yaan hakijui yeye anaongea kifaransa lkn unamuona anamwita Faridi au Feisal anamwelekeza jambo...
  4. T

    Katibu Mkuu CHADEMA huwa unadharaulika au unaogopwa?

    Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza. Uliwafahamisha Tume ya uchaguzi kutojihusisha na chaguzi zozote na ukawakumbusha kuhusu kujibiwa barua inayohusu...
  5. Kwanini ukienda Benki Hela yako huwa unaikuta wakati unasikia Benki inakopesha hela zako?

    Swali moja la Kizushi! Umeshawahi kujiuliza unapoweka hela benki, benki inafanyia nini Hela zako? Na je, kama inatumia kwenye kazi nyingine, je kwanini ukienda kuwithdrawal unaipata? Kuna Majibu mengi sana ndani mwake lakini Hii kuensure liquidity ya Bank inafanya na Kitengo kimoja Hatari...
  6. M

    Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

    Je,.... 1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa? 2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake? 3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta? 4. Hampendi Mbwana Samatta? 5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC? 6. Anataka...
  7. Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

    Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao. Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na...
  8. M

    Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

    Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
  9. Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

    Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona. Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
  10. K

    Kwanini binadamu hawazi kufa kwake bali kwa wenzake tu?

    Huwa najiuliza: kwa nini binadamu hawazii hata kidogo kufa kwake bali kwa wenzie tu: Mifano ifuatayo:- 1. Mume ana miaka 70, mke ana miaka 67. Mume anauza shamba milioni 30. Mke anakodi majambazi wanamuua mume abaki na hizo milioni 30(wastani wa maisha ya mtu ni miaka 80) Mmeoana mkiwa 17 & 20...
  11. Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  12. Hivi kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

    Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sijawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu. Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo: 1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote? 2. Au kuna wanawake ambao huwa...
  13. Swali;dereva huwa anatakoje humo ndani?

  14. Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  15. M

    Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

    Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
  16. Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  17. Mkopo kwa wanaoendelea majibu huwa yanatokaje wakuuu msaada

    Msaada wakuu naombeni kujua kuhusu utaratibu wa majibu kwa walio omba mkopo kwa wanaoendelea huwa yanatokaje
  18. Watu wanaoongea sana (micharuko) huwa hawana siri, chukua tahadhari

    Kwa utafiti wangu usio rasmi, kuna wale watu wanaongea sana, ukiwakuta kwenye kikundi cha watu au popote pale wao mara nyingi hupenda kudominate mijadala, mara nyingi waongeapo huongea kwa sauti ya juu sana, hujifanya wanajua kila kitu, pia hawa watu hupenda kuzoeana haraka na kila mtu ndani ya...
  19. Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

    Hello JF, Naombeni ushauri wa nini cha kufanya. Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia. Mfano, usiku wa kuamkia...
  20. Hivi vyoo huwa havihitaji milango

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…