huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, hadi beat inatumiwa na wasanii wengi hivi huwa ni universal beat, free na huwa imetungwa na nani?

    Hii beat inazidi kuwa maarufu na wasanii wakubwakubwa East Africa wanaendelea itumia, nilianza kuisikia kwa Atilo ft Jovial such kind of love, akaitumia Diamond naanzaje, ameitumia Rayvanny I miss you. Na wengine wanaendelea itumia. Beat hizi hutokea wapi!? Nani ana copyrights!? Je, huwa ni...
  2. Kuna haja ya kumuamimi Tundu Lissu? Kauli zake huwa zina mkanganyiko kila mara

    Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
  3. Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  4. Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  5. Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

    Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
  6. MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
  7. Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  8. N

    Nchi gani nyingine maadhimisho ya Siku ya Sheria Mgeni Rasmi huwa Rais?

    JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
  9. CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

    Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM. Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...
  10. B

    Huwa sipendi nikigundua mwanamke amenipendea pesa

    Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua hilo, sijui wanaume wengine mnawezaje kuoa mwanamke aliewapendea hela. Mimi sio mbahili Wala mchoyo...
  11. Ukweli huwa hauna rafiki, sema ukweli uchukiwe

    UKWELI HUWA HAUNA RAFIKI, SEMA UKWELI UCHUKIWE. Lala pema peponi JEMEDARI NA RAIS WETU KIPENZI DKT JPM. wengine tushakataa kutubu wala kuomba msamaha kwa maana tunatambua kuzaliwa kwetu kuna makusudi na makusudi hayo haikuwa bahati mbaya. Tulizaliwa mara moja na tutakufa mara moja bila kujali...
  12. Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  13. Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
  14. Jambo la kuchekesha ulilofanya ambalo ukikumbuka hata wewe mwenyewe huwa unacheka

    Nakumbuka nilimtania Mwalimu wangu wa shule ya Msingi nikajificha nyuma ya fensi ya nyumbani kwetu Kumbe aliniona bwana. Kesho yake nafika shule tu akaanza na mimi. Nikala viboko. Wewe unakumbuka nini?? Karibu tusimuliane.
  15. D

    Tanzania ndiyo inchi pekee bidhaa zake hupanda bei ghafla lakini kushushwa bei huwa ni kipengele

    Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo" Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo! Nilianza kupata wasiwasi huo...
  16. Kumbe Israeli 'akitukosakosa' kuondoka nasi mazima Udongoni hadi Mbinguni na Kunusurika huwa tunakuwa Kero na Kituko hivi?

    Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Chanzo: Swahili Times Mtandaoni Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
  17. Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
  18. M

    Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  19. Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

    Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli. Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni...
  20. Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…