huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
  2. ramadhani yusufu onyesha

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa cheo jeshini huwa wanazingatia nini?

    Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
  3. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaosifia Kahama huwa mnazingatia nini?

    Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji. Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  6. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

    Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  10. makilo

    JamiiForums Tanzania Mikataba hii huwa haivunjiki?

    Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis. Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar. Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu. Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha...
  12. Koschei

    JamiiForums Tanzania Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    🤔🤔🤔
  13. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

    Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mafanikio huwa yanaanza na watu kuanza kujali usafi na utunzaji wa mazingira

    Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

    Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama. Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency) Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
  17. Django Doer

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

    Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa...
  18. masai dada

    JamiiForums Tanzania Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

    Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Swali ambalo wanaotetea kikokotoo kipya Huwa hawataki kujibu

    Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani, Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi, Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha.. Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI, SWALI: mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
Back
Top Bottom